Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
I love youLove me then..teh[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love youLove me then..teh[emoji23][emoji23]
Kawa kawa Kama dawa. Online masaa 24 Siku Saba za weekungesema
onilaini twentifoo seveni
KhaaaaYote maisha lakini
Heee kumbe yupo kwenye compulsory retirement age, cmtaki huyu soon mpunga utakata nazan hata kiinua mgongo ashatafunaHahaahahahah katrina sasa hivi ana 60 na kitu kama hakudanganya na anapenda vijana kama wewe
Kesho atakuja mwingine hivi wanawake wa humi mnato.mba saa ngapi maana muda wote mpo humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mim nipo tu nimekumiss pia
Kwanini sasa kafanya hivi au Ana roho ya husda kwa baadhi ya watu mpaka anashindwa kujizua? Na Mimi nitajie babu au mlipue tu hapaHata wewe unamjua sana. Ukitaka nawe kumjua nitafute kwa wakati wako
Nakupenda pia mkwe wangu na nimekumiss.. Tupange makutano tukale mihogo coco na tule tumishikakiNakupenda ujue!!!basi tu!!
Ahhahahahaah huwezi jua waweza enjoyHeee kumbe yupo kwenye compulsory retirement age, cmtaki huyu soon mpunga utakata nazan hata kiinua mgongo ashatafuna
Ooouh...ngoja nikachekingia kwenye akaunti ya mleta uzi hutaamini
MuoneHata mimi nakupenda sana sema hujui tu
DoohTena we ushambebisha sana tu mbona...
Labda nizibe macho nahis ntaenjoy maana hata ngozi itakuwa na mawimbi maana ntajikuta kama mtoto nasukuma baby walker [emoji2]Ahhahahahaah huwezi jua waweza enjoy
AhahahahahLabda nizibe macho nahis ntaenjoy maana hata ngozi itakuwa na mawimbi maana ntajikuta kama mtoto nasukuma baby walker [emoji2]
Kwanini sasa kafanya hivi au Ana roho ya husda kwa baadhi ya watu mpaka anashindwa kujizua? Na Mimi nitajie babu au mlipue tu hapa
Watu hata hawaogopi mkwe hawataki Shari tu. Mi nimetajiwa pm bado siamini Kama ni kweli naona wanamsingizia halafu wala simfuati pm kumuuliza wala nini namuacha aendelee kujishtukia tuHahaaa!! Wanamuogopa itakua
Single mothers hawana wabebi wa kuwabebisha !!!
Wamtaje tumkeshee hapa!!
Sasa Ina maana wewe na akili zako timamu ungemjibu MTU Kama huyo? Majibu yako yanamsaidia nini sasa yeye? MTU Kama huyo unamdharau tu na kumuacha ajichagulie majibu Kati ya hayo aloyawaza. Btw kwa umri wake ameshaanza kurudia utoto ndo sababu anawaza Kama mtoto piaUnanichanganya maana sijasoma comment moja baada ya nyingine ili nipate kuunganisha dots
Ila ninauhakika maswali hayo yangekuja kwangu mie kajamba nani watu msingejali na mngewahi siti kusikiza majibu
Mi sina MTU ninaemjua aliekiri kulala na baba yake mzazi. Na nikimjua sitaki mazoea nae hashindwi kulala hata na mwanaeHuyu hawa watu inaelekea wanafahamiana sana kaamuwa achemshe akili za watu kama hawa wanakubalika kiasi gani
Sipendi kukukosanisha na shosti yako bhanaKwanini sasa kafanya hivi au Ana roho ya husda kwa baadhi ya watu mpaka anashindwa kujizua? Na Mimi nitajie babu au mlipue tu hapa