Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Na asemalo Mzee mwenzangu Asprin kuwa mnajuana ni kweli?
Tatizo najuana na wadada kama sita na simuoni hata mmoja wa kufanya hili. Japo anaweza pia mmoja wapo akafanya si unajua ukimkubali Sana MTU unakua na Kama wivu juu yake kwanini yeye na sio wewe. Sasa bado naendelea kuangalia nani anaweza akawa obsessed na Mimi kiasi hiki
 
Ukitoka tutakufuata hukohuko La stanza. Daadeki
Halafu mbona hukuja sasa LA stanza. Mi nikaagiza nikajua unakuja kulipa bill hukutokea. Au ulifika ulivyogundua ndo Mimi ukakimbia kisa mbaya au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…