Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Babu naomba basi nimjue unanifanya nahisi watu ambao siwezi kuamini Kama wanaweza kufanya hayoEti?*?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu naomba basi nimjue unanifanya nahisi watu ambao siwezi kuamini Kama wanaweza kufanya hayoEti?*?
Unanitega... acha ufala we demu
Tatizo najuana na wadada kama sita na simuoni hata mmoja wa kufanya hili. Japo anaweza pia mmoja wapo akafanya si unajua ukimkubali Sana MTU unakua na Kama wivu juu yake kwanini yeye na sio wewe. Sasa bado naendelea kuangalia nani anaweza akawa obsessed na Mimi kiasi hikiNa asemalo Mzee mwenzangu Asprin kuwa mnajuana ni kweli?
Babu niambie basiiMi huwa sibahatishi
Njaa na umaskini wa ubongo..Tatizo humu watu wanatumia muda mwingi kufuatilia watu,sijui ni NJAA au UMASKINI ?
Halafu mbona hukuja sasa LA stanza. Mi nikaagiza nikajua unakuja kulipa bill hukutokea. Au ulifika ulivyogundua ndo Mimi ukakimbia kisa mbaya au?Ukitoka tutakufuata hukohuko La stanza. Daadeki
Kweli. Kuna watu kuwaanza maneno inahitaji MTU awe na uchizi kidogo.Hahahaha nimecheka mpk mepaliwa na balimi wallah
Kuna Uzi kasema Ana miaka 55. Hiyo ilikua 2012. Sasa hivi Ana 61 si Bibi kabisa huyoumejuaje kama ni mama mtu mzima?
Kwani wewe ni mbaya?Halafu mbona hukuja sasa LA stanza. Mi nikaagiza nikajua unakuja kulipa bill hukutokea. Au ulifika ulivyogundua ndo Mimi ukakimbia kisa mbaya au?
Hapa pia poa.. Ajione na yeye maana I'm sure atakua na Id yake nyingine SAA hizi anafuatilia comment kwa karibuNikutakie hapa tuu?
Hana umri huo... trust me.Kuna Uzi kasema Ana miaka 55. Hiyo ilikua 2012. Sasa hivi Ana 61 si Bibi kabisa huyo
Siacha ufala kwa maneno yako babu.Unanitega... acha ufala we demu
Kwahiyo ushamjua? Njoo unijuze basiKikulacho ki miongoni mwako
Uzuri wa MTU uko kwa MTU. Wengine wanasema mbaya wengine mzuri sasa sielewi Niko wapiKwani wewe ni mbaya?
Bado sijamjua kwa kweli ila mbane Mzee mwenzangu Asprin anamjuaKwahiyo ushamjua? Njoo unijuze basi
Ana miaka mingapi? Kwahiyo ilikua chai tu ile?Hana umri huo... trust me.
Mmmh...!I love you
Eeeh. Anaona wivu kisa sie bado tuko kwenye chart. Ye si alikua kijana Kama sisi sasa hasira za nini wakati na sisi tutakua wazee Siku moja