Nimefurahi tu kujua ninae fan baasimpuuzi tu, msamehe, ukimheshimu sana mjibu lakini nakushauri umpuuze kwa kutomjibu
Tumejaa kabsaaNimefurahi tu kujua ninae fan baasi
It takes one to know one..Sasa na wewe umejuaje wanashinda JF 24hrs..?
[emoji129] [emoji129] [emoji129] [emoji129] [emoji129]Ila una kazi kuangalia nani na nani wapo online
Ebu mm nikuulize wewe inakuhusu nini kwa mfano simu zao mabundle yao
Jf pekee ndio kuna mambo ya kupangiana simu yako bundle lako na unapangiwa jinsi ya kuingia jf
Sababu ni kuwaangalia nyie tuNi kwamba muda tulio online Na yeye anakuaga online. Atuambie hapo yeye IPI sababu yake Kati ya hizo.
sababu naye anashinda humuSasa na wewe umejuaje wanashinda JF 24hrs..?
Huyu kashindwa kuvumilia naona afungue Na Uzi. Sema nitamfundisha akitaka kukaa online muda wote. Maana asitake kuoga tembo kunya bure akamkera bosi wake sijui mumeweTumejaa kabsaa
[emoji129] [emoji129] [emoji129] [emoji129] [emoji129]
Nawaangalia mnavyo mpiga maweNdio manini hayo tena au unawaangalia wakina mzigua waliopo online kaka akee
Nimekuelewa mpka nimepitilizaIt takes one to know one..
Umenielewa nadhani mkuu
Nimefurahi Sana kujua nina loyal fan JF. Wacha nikanunue McDowell nijipongeze. Nimekua celeb sasaSababu ni kuwaangalia nyie tu
Hahahahahaaa.. Kumbe anatafuta mwenza? Sasa Kama Hana mbona hashindi humu?Naona dalili za mtoa mada kuikacha post yake
Swali la kizushi ivi ulishapata mwenza?
Dada kumbe na wewe ni celebrity humuNimefurahi Sana kujua nina loyal fan JF. Wacha nikanunue McDowell nijipongeze. Nimekua celeb sasa
Ndio nimejua Leo ndugu yangu.Dada kumbe na wewe ni celebrity humu