utaogopa wanadamu hadi lini?Akha
Unialike afu kesho na kesho kutwa uje kunifungulia thread na uzi mwingine kisa mbuzi na bia 2.
Akhaaa
Kuna shida kwani[emoji4][emoji4]Umemsahau mama sabrinah
Sasa Kama unajua ni kazi kwa nn umesema niache dharau?Acha dharau.
Kwani baamedi sio kazi.
Akha
Unialike afu kesho na kesho kutwa uje kunifungulia thread na uzi mwingine kisa mbuzi na bia 2.
Akhaaa
Hahahahahaaa. Muache shemeji yako dadaIla nawe ipo siku utafunguliwa nyuzi.
Kila comment upo.
Tupange tu mama. Hata jumatatu lunch time naweza kuchomokaHapo chacha.
Asikaushe watu vizazi.
Afu ile kitu mbona kimya?
Lini una nafasi we mdada twende kuleeeee...
Nijulishe kazi yako Na mie nipate hela wifiJf mm naipenda jaman sababu inanipa mahela siku hizi mm tajiri tu Jf mihela kama yote
fukua makaburiKipindi hicho unasaka mme una miaka 55 hapo ni mwaka 2012 hata sijaijua jf,hivi ushapata mme Amkatrina au bado wasaka [emoji42]
Hiyo ya mitego. Mambo ya couples tena. Bebeni Na singles tuje.Nikupe Mwaliko??
Yetu sisi ya kibabe,
Mbuzi 3, pombe kama zotee,
Mziki mnene,
Afu inafanyikiaa porini (outdoor),
Kizungu yaniiiii
Ila lzm uwe couple,
Mana itakuwa madhambi tupu
Una wazimu wewe. Kwa wanaume gani wa kumtunza MTU na mtoto wake.? Kwa hela IPI kwanza? Usinikaushe uzazi tafadhali.Kazi zao ziko humu JF,
hapa ndipo ajira zao ziko humu,
kula yao inategemea humu,
waume zao wako humu,
Watoto wao wanakula kwa kutegemea wanaume wa humu.
Bilashaka umepata mwanga.
Niamini Mimi huyo hawezi. Usimuogope hata. Ukimzoea Hana shida. Mkipishana Uzi huu mkikutana kwingine mnakua mabeste.Akha
Unialike afu kesho na kesho kutwa uje kunifungulia thread na Id nyingine kisa utumbo wa mbuzi na bia 2.
Akhaaa
Sasa ndo unafki nisiopenda Mimi. Kwani anatuogopa nini wakati kumpiga hatuwezi hata
Kuna hawa wadada Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat yaani kila nikitupa jicho humu Jf nawakuta wako Online.
Maswali yangu:
1. Hamna waume?
2. Mna stress?
3. Single mothers?
4. Widowers?
5. Mnaishi pamoja?
6. Mna bando za kuchezea?
7. Mnawekwa tu mjini (hamna majukumu)?
8. Mnataka kiki?
9. Jobless?
10. Mna share Jf?
11. Ni multiples I'D?
12. Mnajishaua tu tuwaone kuwa mko juu?
Yaani sijawahi ingia humu Jf nikakuta hakuna mada yoyote ambayo Demiss, Mzigua90 au Sky Eclat hawajatia maguu.
Nipeni nami mbinu mwanamke mwenzenu niweze damshi majukwaa yote.
Khaaa!!!!
Hiyo ya mitego. Mambo ya couples tena. Bebeni Na singles tuje.
Akija Na ID yake majina yote mazuri anakuita akitumia ID ingine utajuta kuifahamu hiyo ID Kwa maneno unayopewa.Hahahaa!!
Watu hawanaga ujasiri wa kutumia IDs za zilizozoeleka. Wanaogopa.
Ana kwa ana ndo watajinyea kabisa.
Kaazi kweli kweli yaani!!
Hahahaaaa magonjwa mtambuka tuHahahha utakavyofikiria ndo jibu sahihi ongeza na gawanya