Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Pole sana.
Hata dhahabu inapitishwa motoni ili ipate uthamani.
So a take simple tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana.
Usijali.Akikujibu, unitumie jibu lake PM, nisijeaibika hapa bure![emoji23]
Siku utakayopata mimba ndo siku utakayoniheshimu...Najua hili jibu sio la comment ile...
Hahahaha, huyoooooo!!!!!
Mzomeniiiii
HahahahaAfu Mzigua90 alivyo bwege eti leo kajitoa hewani. Fala sana huyu demu wako LOL
Afu Mzigua90 alivyo bwege eti leo kajitoa hewani. Fala sana huyu demu wako LOL
Usipende kuchomeka chomeka ukuni wako kula sehemu.Siku utakayopata mimba ndo siku utakayoniheshimu...
Hili swali gumu kama ilivyo ngumu kula mawe
Nshazeeka mimi ukuni ushakuwa mkaa. Kama huamini njoo ukakagueUsipende kuchomeka chomeka ukuni wako kula sehemu.
Utapata tabu sana
Nikija kukukagua, uje kuanzisha thread kwa Id nyingine.Nshazeeka mimi ukuni ushakuwa mkaa. Kama huamini njoo ukakague
HahahahaNikija kukukagua, uje kuanzisha thread kwa Id nyingine.
Afu tutatembea pm mpaka tukujue.
Chezea umbea wewe
Yaani nyie mtu mbili najua mshaambiwa.Hahahaha
Sasa mimi na iD zangu zaidi ya tano... watapata tabu sana nikitumia ID yangu ya jukwaa la wakubwaNikija kukukagua, uje kuanzisha thread kwa Id nyingine.
Afu tutatembea pm mpaka tukujue.
Chezea umbea wewe
Afu ile Id ishawahi kunitongoza uju.Sasa mimi na iD zangu zaidi ya tano... watapata tabu sana nikitumia ID yangu ya jukwaa la wakubwa
Pole sana.
Hata dhahabu inapitishwa motoni ili ipate uthamani.
So a take simple tu.
Hahahaha, acha nicheke kwa dharau SanaYaani nyie mtu mbili najua mshaambiwa.
Si mumtaje sasa?
Mie sipendi umbea wa hivi mjue.
Au mpaka nikuite pale kwa Rasi kontena?