Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Watu hata hawaogopi mkwe hawataki Shari tu. Mi nimetajiwa pm bado siamini Kama ni kweli naona wanamsingizia halafu wala simfuati pm kumuuliza wala nini namuacha aendelee kujishtukia tu
Mbona PM yangu hujibu?
 
Back
Top Bottom