Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Wacha kabisaaa my Eli...[emoji23][emoji23]na boksa keshavua huyo anakufaaje my sakayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha kabisaaa my Eli...[emoji23][emoji23]na boksa keshavua huyo anakufaaje my sakayo.
Ni kweli kabisaSi unajua michepuko inajua kubebisha wakati mke anajua kulea?
Comrade asprin anataka kufanya yake huko, na boksa keshavua tayari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We bwana usitafute sababu. Kama hunitaki useme tu
JamaniNdo kisingizio chako toleo jipya?
Si unajua michepuko inajua kubebisha wakati mke anajua kulea?
Kanipa sababu umeziona?Nawe umeamini
Wewe apoHuyo aliyekushawishi urudi nimemvulia kofia. Khaaa!
Umekubali nini sasa? Kama vipi njoo without kabisa ili tusipoteze mudaNimekubali babu
HapanaKanipa sababu umeziona?
Mi birthday yangu sio leoWewe apo
Mbona PM yangu hujibu?Watu hata hawaogopi mkwe hawataki Shari tu. Mi nimetajiwa pm bado siamini Kama ni kweli naona wanamsingizia halafu wala simfuati pm kumuuliza wala nini namuacha aendelee kujishtukia tu
Sijaiona mpenzi. Nitumie tena hata nukta tu pm nitapata. Nashangaa hata notifications sipatiMbona PM yangu hujibu?
Sakayo ,sakayo unataka nizirudie sababu alizotoa babu?Hapana
Nawee unamjua?Sijui nimtaje ? Ila huyo madame sijui kawaza nini. Au acha tusimtaje tuu.
Hiyo simu yako mpyaa[emoji23] [emoji23]Sijaiona mpenzi. Nitumie tena hata nukta tu pm nitapata. Nashangaa hata notifications sipati
Umefanana na Baraka de PrinceYamekua haya tena jamani wakuu,
Umefanana na Baraka de Prince
Hiyo pua na rangi mdogo wangu.Acha utani dada yangu Madame