Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

Mmmh, mbiti ya kweli haya? Hivi kumbe mshana yupo siriaz kabisa..loh.

Na mimi naanza kusaka..

haha ya ukweli haya shemasi wangu..hapana we ukianza kutafuta ukampaga mtu kama Hornet si utahama kwako wewe kweli?shauri zako...au umpate mtu km Mzigua90 kwisha habari yako..mm ni mpenzi mtazamaj
 
Teh teh, hao ni damu changa siwawezi. Hivi hicho kisura ni wewe...dah!!
 
hivi ni maharage ya wapi huyo binti
unakosea sana rafiki..kwab dogo hana hisia?alafu msidhan threads zake huwa ni maisha yake..huenda kbs huwa changamsha genge..binafs mie namuelewaga sana tu..then ni age yake hiii tusipende kinyooshea watu vidole aisee...mwache apendwe na apende na ajifunze kupenda...samahan km nimekukosea
 
UMENIJUDGE sio mtoto mzuri kwani maharage hayapendwi mkuu, pia ni mawazo yangu tuu na sijataja mtu jina,ila inaonesha unamjuwa zaidi hadi umri wake
 
unakosea sana rafiki..kwab dogo hana hisia?alafu msidhan threads zake huwa ni maisha yake..huenda kbs huwa changamsha genge..binafs mie namuelewaga sana tu..then ni age yake hiii tusipende kinyooshea watu vidole aisee...mwache apendwe na apende na ajifunze kupenda...samahan km nimekukosea
Dada haya mambo yanshangaza sana hata akiongea hivyo anazan ataharibu mapenzi yetu hakuna kama hichooo
 
😀 😀 😀 😀
IMG_20180325_094850_385.jpg
 
Nimeshangaa mganga kulogwa.ahahaa umetisha pachupachu sio ya mchezo hyo
Yan hatar kabisaa si unajua lakin pachupachu yangu ni balaaa na mauno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nampa taratibu anajilia vitu vyakeeeee
 
Back
Top Bottom