Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

Am so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine.... Nilikuwa na mpenzi hapa na sikuruka ruka kama wengine leo hapa kesho pale .. Msipeleke mawazo yenu kwa Asprin mzee wa kukagua 😳 😳 😳
Baadae my heart bit (she knows how much I loved n respected her) akaenda mbali nami.. It was something unpreventable..... Nikawasiliane naye.. Because she cares akanipa kibali... Na kibali hicho akatunukiwa chamdeko .. The rest is very known to everybody... Demiss chamdeko sio malaika kumchafua haitopunguza Makhabati yangu kwake.... NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!
From the deepest part of your heart,say it louder,that 'NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!'so they can understand that she is the only one...
 
Am so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine.... Nilikuwa na mpenzi hapa na sikuruka ruka kama wengine leo hapa kesho pale .. Msipeleke mawazo yenu kwa Asprin mzee wa kukagua 😳 😳 😳
Baadae my heart bit (she knows how much I loved n respected her) akaenda mbali nami.. It was something unpreventable..... Nikawasiliane naye.. Because she cares akanipa kibali... Na kibali hicho akatunukiwa chamdeko .. The rest is very known to everybody... Demiss chamdeko sio malaika kumchafua haitopunguza Makhabati yangu kwake.... NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!
fwatalaaaaaa!!!!!
mbuzi kafia kwa muuza supu!!!!!!
 
Huwa nakukubali saana ukishika simu huku ukiwa Main Counter halaf vyupa kama vi4 vipo kichwani
Kaka hapo huwa unamwagika maneno Kuntu saana
Halaf na Ung’eng’e unamwaga kuliko hata Obama

Ndio maana mimi nilishasema
Konyagi siachi Ng’oooo,!!![emoji1321]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jf kuna mambo
Huyu hapa sasa.. Hata kama ni wewe ungefanyaje
IMG_20180315_104955_566.jpg
 
Back
Top Bottom