Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

Am so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine.... Nilikuwa na mpenzi hapa na sikuruka ruka kama wengine leo hapa kesho pale .. Msipeleke mawazo yenu kwa Asprin mzee wa kukagua 😳 😳 😳
Baadae my heart bit (she knows how much I loved n respected her) akaenda mbali nami.. It was something unpreventable..... Nikawasiliane naye.. Because she cares akanipa kibali... Na kibali hicho akatunukiwa chamdeko .. The rest is very known to everybody... Demiss chamdeko sio malaika kumchafua haitopunguza Makhabati yangu kwake.... NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!
Mungu awape nguvu mdumu milele mkuu. Uwazi, upendo,uwajibikaji, na kushughulikiana ziwe tunu za maisha yenu.

Huku mkiwa huru ninyi kwa ninyi bila kufichana kitu.
 
Aaamen [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Aaah na raha anazipata kweli maana hadi mwandiko wa wifi umeanza kubadilika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
tapatalk_1521163788846.jpeg
 
Mlisema haolewi mbona kaolewa alililiiiiii
 
Daah je ikitokea iyo couple itakapovunjika ...nadhani utawaomba mods wafute thread zAko zote zinszokuhusu ww na demis

Ni maon tuu na mtazamo
 
Am so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine.... Nilikuwa na mpenzi hapa na sikuruka ruka kama wengine leo hapa kesho pale .. Msipeleke mawazo yenu kwa Asprin mzee wa kukagua 😳 😳 😳
Baadae my heart bit (she knows how much I loved n respected her) akaenda mbali nami.. It was something unpreventable..... Nikawasiliane naye.. Because she cares akanipa kibali... Na kibali hicho akatunukiwa chamdeko .. The rest is very known to everybody... Demiss chamdeko sio malaika kumchafua haitopunguza Makhabati yangu kwake.... NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!
Nendeni mkaongezeke muijaze dunia. Tena umechelewa wahi nawe UTIMIZE UNABII HUO.

Dogo karibu ktk chama la WAKUBWA uwanja mpana sana huu kuna milima na mabonde yataka uvumilivu wa helms na akili sanasana.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Humu jf kuna demu mmoja nilikuwa nafukuzia, mtoto nilisha mweka kwenye himaya ya mikono yangu, Kumbe yule demu alikuwa alisha jiunga na jukwaa la wakubwa ila alikuwa anapita kimya kimya, siku moja akaja akanidaka na post kule JLW ndiyo alipo gundua mim ni mtu wa namna gani na id akaja kubadilisha, hakuwa anataka kabisa kuniona sijui alikuja kufia wapi yule mbuzi
Maisha yake yaliishia machinjioni vingunguti,pole mkuu
 
Back
Top Bottom