Aisee pole. Kama vipi jitahidin kuyaweka private kidogo kuepuka hayoMakhabati cute b
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee pole. Kama vipi jitahidin kuyaweka private kidogo kuepuka hayoMakhabati cute b
Wewe umekuwa nabii? Mbona unanikatisha tamaa?Naona wito wa ndoa bado kwako .hujaitwa bado.
Kwani hujamsoma Miss Natafuta hapo juu anasema wakuoa wanajulikana?!Hahaha, asee mchumba mpk ujulikane?
Ujulikane vipi sasa kwa mfano?
Siku yako ya kuoa ikifika Hata muda wa kuangalia hyu Dada hv anaona vizuri au kengeza hutokuwa nao.hayo utakuja kuyaona ndani huko baadae.Wewe umekuwa nabii? Mbona unanikatisha tamaa?
Code za huku zinanishinda mkuu,ana maanisha nn?Kwani hujamsoma Miss Natafuta hapo juu anasema wakuoa wanajulikana?!
Ndio imefika sasa. Hivi wewe umeolewa?Siku yako ya kuoa ikifika Hata muda wa kuangalia hyu Dada hv anaona vizuri au kengeza hutokuwa nao.hayo utakuja kuyaona ndani huko baadae.
Anamaanisha mimi sio hubby material...Code za huku zinanishinda mkuu,ana maanisha nn?
Hata sijuiNdio imefika sasa. Hivi wewe umeolewa?
Sijui ngoja niulize wadauNdio imefika sasa. Hivi wewe umeolewa?
Kama bado njoo tuyajenge.....Sijui ngoja niulize wadau
Ahahaa wewe sikutaki wala sikuwezi hata kidogo.Kama bado njoo tuyajenge.....
Duh....hivi unajua inavyouma kupigwa kibuti hadharani?! Si ungenidanganya tu nikaja PM ndio ukanipiga kibuti...Ahahaa wewe sikutaki wala sikuwezi hata kidogo.
Pale juju ninaporudi kwa alielitumaHivi ni kweli jamani au? Mie najua mnatania?
Hatutanii msHivi ni kweli jamani au? Mie najua mnatania?
Wewe mwenyewe hata hunitaki.hv nikikukubali utafanyeje?Duh....hivi unajua inavyouma kupigwa kibuti hadharani?! Si ungenidanganya tu nikaja PM ndio ukanipiga kibuti...
Nitakuoa.Wewe mwenyewe hata hunitaki.hv nikikukubali utafanyeje?
Sawa Rrondo, ninamuuliza mshana is he serious.Hatutanii ms