joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tanzania imekua ni kinara wa demokrasia tangu hizi nchi zipate Uhuru wake, alipoingia Magufuli, kidogo tukashuka, Kenya wakapiga sana kelele kwa kutuzidi mwaka mmoja, sasa hivi tumerudi katika nafasi yetu.Khee! wajue sasa baba wa democracy ukanda huu ni Tz
Kenya wamebaki na GDP tu kwasasa, tumewazidi kila eneo kwa sasa hivi.