pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Eti kugawa kazi ipi hiyo? [emoji1] IGP yeye, waziri wa afya yeye, kupima COVID yeye, barakoa zenye 'sumu' yeye. Alafu mwishowe badala ya kujifukiza anakimbilia ventilator. [emoji4]Umesikia kuna kazi imesimama
Sababu eti JPM haja onekana? Uongozi bora ni pamoja na kugawa kazi hadi rais asipo bado mambo ni shwari..
Nakumbuka 2019 mkitafuta kenyatta alipokuwa amejifungia mwezi moja