JPM anaelewa kazi zote za kiserikali, miaka 25 amefanya kazi serikalini 10 akiwa kwa baraza la mawaziri.
Usi sahahu yeye ni Dokta na amesomea hadi ulaya.
Ukiwa mfanyikazi wa serikali, usahau kuleta ukajanja kwa JPM, atakuumbua.. Lakini bado kazi anagwa yote kimantiki