You are indoctrinated to the core,you cannot see any alternative ideas rather than those from the West.MTA demonize China mpaka lini,when it has already overtaken the West in everything.Usinizungumzie Hongkong kwa kuwa ujinga ule umeletwa na underground elements from the West.Na unazungumziaje kinachoendelea Ufaransa,Yemen,Iraq,Syria,The Sahel,South America.Unajua what it is all about?Unajua kwamba hii chaos yote tunaiona duniani inaletwa na hao hao wanaodai eti wao ni Democrats?Kama they believe in democracy why are they friends of Saudi Arabia,Bahrain etc. which are complete dictatorship s?And why were they friends of Mobutu?Come on guys,wake up.
Ushageuza huu mjadala ni East vs West!
Unashindwa kuelewa,tunaangalia mfumo sahihi na huru kwa wanadamu wote ni upi!
Hapa ni ushindani wa ideas na sio East au West!
Mkuu mfumo wa China ni wa kukandamiza na ku-control population!
Yaani mfumo wa China ni totalitarian...hakuna kupiga kura hata siku moja,chama kimoja,hakuna freedom of speech,hakuna free trade bila serikali kuingilia,hakuna uhuru wa mahakama,etc wanachoamua CCP ni nchi nzima wanafuata
Kuhusu sijui HongKong kuna undercurrent sijui nini na nini hiyo ni hisia zako kama tulizonazo wengine
Mkuu tunaangalia uhuru yaani freedom and liberties,wao wanataka hivi vitu....Totalitarian wa Mainland wanakataa
Mfumo wa Demokrasia una mapungufu yake,lakini huwezi niletea hoja ya mfumo wa hovyo wa China na madikteta mengine yote duniani
Hakuna replacement ya Demokrasia,kama ipo alternative itoe hapa!
Leo wewe hapo una freedom na liberties japo Mawe anazibana bana,ila ukinyang’anywa moja kwa moja you will die no matter how rich you will be
By comparison,values za democracy,human rights,free enterprise,rule of law,independent judiciary,legislature and executive,personal liberties za watu,etc ni the best values so far in the world!
East has never come with better values than these so far!
Leteni mbadala tuone.Mnatuletea Maoism,sijui Communism,dictatorship and other stupid jungle monkey systems za unyapara za kuchapa wanadamu bakora kama punda,pumbavu kabisa!
Eti sijui demokrasia inafanya Marekani inawatawala...Mkuu China inatawala vinchi kibao kwa system even worse than that of the USA
Marekani au nchi za kibeberu zinatawala nchi yeyote bila kujali mfumo wenu mlio nao ni wa aina gani.Wether mna demokrasia kama South Africa au mna dictatorship kama Uganda au Tanzania.
Hujui how superpower works kabisa
Demokrasia ni mfumo huria unaogopwa na watawala wapumbavu ili kulinda madaraka yao ya kisenge...Watawala wanataka kutuletea hofu zao za kukosa madaraka kwa kutusukumia wananchi hiyo hofu eti iwe hofu ya nchi nzima
Wananchi by nature wanata uhuru,wanata demokrasia,watawala hamtaki mnaona mtatolewa mnataka mtawale milele na ku-control wananchi wengine pia wasichukue madaraka