Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
I know all governments are evil,but some are more evil than others.The American government is especially too evil.Unazungumziaje serikali ya Marekani ambayo wazi wazi kabisa inapora resources za nchi zingine kule DRC Congo,all over the Sahel,Libya,Syria,Iraq,South America;is killing people in those countries by creating conflicts one after another ili iweze ku-justify uwepo wake iendelee kuiba;is spreading diseases all over the world like Ebola,HIV-Aids,Herpatis A-D,Zika etc.;is feeding people poisons in the form of foods,tena vyakula vya misaada &GMOs;is bullying other countries,is imposing hegemony and tyranny over other countries;has fought more unjust wars than any other and has killed more people in those wars than any other country in human history;nchi ambayo imeruhusu watu wake wawe abducted by Aliens(demonic entities) na miili yao iwe mutilated in the course of experimentation for technology exchange ?Unazungumziaje nchi ambayo imefanya mauaji ya kinyama kabisa ya wanadamu kwa bomu la atomic kule Hiroshima na hii vita ya kinyama kuwahi kushuhudiwa katika historia ya wanadamu kule Yemen?
Kumbuka kwamba hawa hawa ndio wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya duniani.Umeshawahi kujiuliza kwa nini hawataki kutoka Afghanistan na kilimo cha popy kinazidi kushamiri Afghanistan ingawa wapo?Uliwashawahi kujiuliza kwa mini Bush Senior na Junior walikuwa Marais wa Marekani na wana Oil Offshore Rigs kule Texas?Hawa ndio wanaoifanikishia serikali ya Marekani kuingiza madawa ya kulevya Marekani kwa kuitumia Oil Rigs na fast boats zao!So wakapewa zawadi ya kuitawala Marekani.
Hivi haikushangazi hata kidogo kwamba watu hawa hawa waovu kiasi hicho,ndio wanaokuletea the so called democracy,eti ujitawale vizuri,wana wema gani,hustuki tu aa.How stupid and foolish are you.Jamani amkeni,mmelala mno.
Conspiracy Theorist wewe!
Una proof US government imeleta magonjwa duniani?
Yaani US ilete magonjwa duniani wakati na wao wao wanaishi dunia hiyo hiyo?
Nataka proof beyond reasonable doubt,mengine ni blah blah tupu!
Kuvamia nchi zingine kila nchi zinafanya,US kuvamia kuwashinda imekua nongwa!??
Na wewe kujua government fulani ni evil zaidi ya zingine unatumia kipimo gani?
Utasikia natumia ubongo na macho yangu kupima,hivyo si vipimo ni tetesi na opinion tu!
Mengine yote ni conspiracies tupu!