Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Tundu Lissu ndiye katuonyesha ujinga wa CHADEMA na ujinga wa wanachama wake.
Wanachadema ni manamba wa mtu, tuseme CHADEMA iliundwa kwa ajili ya Mbowe tu au watu wa kaskazini. Lakini najiuliza swali, kwa nini demokrasia CHADEMA ni ngumu sana kuipata?
Badala ya kumpima kwa hoja, wao wanamuona msaliti! Kugombea nafasi ni usaliti?
Na hamjaanza leo! Zitto Kabwe alipotaka nafasi hiyo mlimuita msaliti na mkapambana naye sana. Chama kiliunda timu ya kumshambulia mitandaoni na kumnyang'anya uanachama wake.
Wa pili ni Chacha Wangwe na wengine kibao! Chama gani ambacho mtu akitaka nafasi ya uenyekiti anakuwa adui? Demokrasia gani ya uoga wa aina hii?