Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mbona karibia viongozi wote wa chama cha Democrats wamekimbilia kumuunga mkono Kamala Harris ambaye ni mtu wa mrengo kushoto wa mbali kabisa na mwenye nakisi kubwa katika CV yake panapo masuala ya uchumi na usalama?
Kwanini vigogo wa Democrats hawakutaka kujielekeza zaidi kuwaachia wajumbe wa chama kuchagua mgombea katika mchuano wa ushindani ndipo wamuunge mkono huyo mgombea?!
Vipi ikiwa Kamala Harris atashindwa katika mchuano wa chama au uchaguzi mkuu? Huu si utakuwa mtafaruku mwingine mkubwa ?