Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Hongera mkuuHata Biden aliondoka na nyaraka na special counsel akahitimisha kuwa ingawa Joe alikosea, hakuona haja ya kumfungulia mashitaka kwa sababu ni mzee na akili yake imeanza kupungua. Unabisha?
Majimbo kadhaa yanayoongozwa na Democrats yalitaka kumwondoa Trump asishiriki kabisa kwenye uchaguzi mkuu kwenye hayo majimbo yao. Baadaye mahakama ya upeo ikaamua kuwa Trump ana haki ya kushiriki chaguzi kwenye majimbo hayo. Unabisha?
Prosecutors wote waliomfungulia mashitaka Trump, Fani Willis, Alvin Bragg, Leticia James, na Jack Smith, wote ni Democrats, unabisha?
Michael Colangelo naye alikuwa anafanya kazi kwenye serikali ya Joe Biden, unabisha?
Kusema Biden hana mkono kabisa kwenye hizo figisu ni kuwa naive.
Ndiyo, anaweza kujitetea kupitia plausible deniability. Lakini kila mtu mwenye akili anajua kinachowndelea.
Walau wewe unaonyeshesha unzajiua siasa za Us in deep kidogo
Wengine wanachambua kupitia habari za kimataifa za TBC tu