Democrats wa Marekani wamechanganyikiwa? Mbona wanajiendea kama gari bovu?!

Hongera mkuu
Walau wewe unaonyeshesha unzajiua siasa za Us in deep kidogo
Wengine wanachambua kupitia habari za kimataifa za TBC tu
 
Mpaka sasa hawaoni mtu atakae vaa viatu zaidi ya Harris,ni bora Harriss hatatumia muda mwingi kufahamika anauzoefu wa Kampeni.
 
Mpaka sasa hawaoni mtu atakae vaa viatu zaidi ya Harris,ni bora Harriss hatatumia muda mwingi kufahamika anauzoefu wa Kampeni.
Walikuwepo, wangewashindanisha
 
Wow! Look at me 😀.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…