Pre GE2025 Demokrasia CHADEMA ni kubwa kuliko CCM. Sidhani kuna mtu atathubutu kutangaza nia yake kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya rais Samia Suluhu Hassan

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Hongera CDM kwa kuonesha upeo mkubwa wa ki-demokrasia kwa kuwa na mfumo unaoruhusu wanachama kugombea vyeo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uenyekiti wa chama.

Huwezi kusikia mwanachama wa CCM anatangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya mwenyekiti aliyepo madarakani.

Chadema endeleeni kuwa kinara wa demokrasia nchini na tunawaunga mkono kwa utaratibu huu mzuri.
 
Mwanachadema anasema " lisu hafai kuwa mwenyekiti wa chama taifa ana uwezo mdogo labda asubiri agombee urais ndio kuna mfaa" yaani mwanachadema anaona kuongoza chama ni kazi ngumu kuliko kuongoza nchi .
Ukiwa chadema unakuwa na akili za maiti kabisa

USSR
 
Kwa namna ya kibongo na chama chenu ni kama kumkalisha mlevi wa chang'a tu.
 
INAWEZEKANA YUKO SAWA. KWANI ANAYEONGOZA SS NI MTU WA MASIJALA. WATU HAO WANA AKILI KUBWA?
 
CDM ni gwiji la demokrasia Tanzania.
 
ni utovu wa nidhamu wa kiwango cha juu sana kupambana na kiongozi wako. Ni chanzo cha uhasama na migawanyiko. Ni sababu ya hujuma na kuanguka au kutokufanikiwa kwa uongozi utakao shika hatamu.

kwa mfano, hizi hadaa na dharau anazoonyesha Lisu kwa Mbowe, zinaweza kua chanzo cha uhasama na hujuma kwa chama endapo huyo Lisu atafanikiwa kushinda nafasi hiyo,

Kwasababu, mbowe na wafuasi wake ndani ya Chadema watakua na kazi moja tu, ambayo ni kuhakikisha Lisu hafanikishi chochote ndani ya Chadema katika kipindi chake chote cha uongozi wa miaka yote mi5,

Ili kuhakikisha comeback ya Mbowe uongozini inakua ya kitofauti sana.

Chukua hiyo point, itakusaidia sana 🐒
 
Sasa subirini Mbowe awafundishe maana ya African democracy
 
CCM wajifunze demokrasia ya kweli CDM.
 
Domkrasia za hivi vyama zipo na mifumo tofauti tofauti.
 
Kule CCM ni full adabu, akuna wa kuthubutu kitia nia hata kwa kuguna - ni form moja tu.
 
CCM wajifunze demokrasia ya kweli CDM.
demokrasia au kuviziana, tamaa au uchu wa madaraka?

ni hatari kwa maisha na uhai miongoni mwa kambi zinazokabiliana .

Wataalamu tunasubiri matokeo ya hiyo Demokrasia 🐒
 
Wanajua urais hapati
 
Cocobeach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…