Demokrasia haiwafai watu aina ya Mdude Nyagali


Kila mtu akiwa mzungumzaji WA chama matokeo yake hata Wavuta bangi na walevi hushika hatamu
 
Sielewi kwa nini CDM wanaendelea kumtukana huyu Mama, nadhani wanamtengeneza dikteta mwingine. Makosa madogo madogo yapo, especially kwenye matamshi, hamna mtu kakamilika....
Na ndio maana naona kumshambulia Rais ni kutaka kumfanya awe dictator Tena kwa Hili likatiba letu lilivo bovu mkuu wa nchi akiitumia ipasvyo tutaanza kulia ka enzi za Magufuli maana CDM walisababisha had akawa Rais matokeo yake yalikuwa kilio kila corner
 
Hata CDM nao wachange strategy zao Sasa sio kujifanya wababe kwa mama msikivu na wao kuleta ujeuri wananchi wengi hawatawaelewa kabisa, na siasa za kibabe hazifanyi kazi awamu hii, zilikuwa zinafanya kazi enzi za magufuli maana na yeye alikuwa harsh hajali hisia za wengi Hadi wananchi wakakerwa na matendo yake. Kwa Samia 100 za uongozi wake kajitahidi kugusa watu mbalimbali kiasi watu wanaona haya kumkosoa. So CDM wabadilike waje na siasa za hoja na kuonyesha mapungufu ila sio ku Force kingi kisa mama kawa mstaarabu
 
Kwanini CDM wasimtafutie tiba ya Hilo tatizo lake maana ujasiri anao wakutosha wamsaidie
 

wakina mdude mpo wengi kumbe
 
ona fala mwengine huyu 👉 👌
 
Huyu Mdude ni sikio la kufa, halisikii Dawa, ndio kwanza amezidi kuwekeza kwenye ujinga.

Kama kuna watu wa Chadema wanamuunga mkono mtu huyu basi wajitafakari upya.
 
Mbona umepaniki shehe unakubali mwanachadema mwenzio apatwe na majanga[emoji16]
Huyu Mdude ni sikio la kufa, halisikii Dawa, ndio kwanza amezidi kuwekeza kwenye ujinga.

Kama kuna watu wa Chadema wanamuunga mkono mtu huyu basi wajitafakari upya.
 
CHADEMA, Je mumefikia wapi katika kumrekebisha huyu mwathirika wa mateso ya Magufuli?

Kama mnadharau ushauri, atawa cost vibaya huko mbele
 
Mdude ni janga.
Ndio maana alitekwa kwa mtego wa “mwanamke mzuri kumchota akili “
 
😀😀
Kumrekebisha Mdude sio Jambo Dogo.
Wewe MTU yote yaliyomtokea hayajambadilisha unafikiri kuna kitakachomdalisha Kwa mdomo?
Nimekuelewa, jela tu ndiyo inaweza kumfunza mengine ni kupoteza muda. Yeye mwenyewe kwenye posts zake anaandika kutaka ku irritate au ku trigger process ya kukamata na kumfungulia mashtaka
 
Kumbe na wewe umeanza kuandika namba ya Simu kama Mwashambwa, all the best kwa unachotarajia
 
Uvunjaji wa Sheria na ukosefu wa demokrasia ndio huzaliza wakina mdude
 
Kumbe na wewe umeanza kuandika namba ya Simu kama Mwashambwa, all the best kwa unachotarajia

Hiyo post Angalia ni yalini.

Nilikuwa naandika miaka ya 2017-2020 nikaona usumbufu kupigiwa pigiwa simu.
Nikaacha.

Ichukue nawe, unicheki. Kwako sitaona usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…