Demokrasia haiwafai watu aina ya Mdude Nyagali

Demokrasia haiwafai watu aina ya Mdude Nyagali

toa hoja moja tu humu uliyowahi kueleza kuulizia wapi alipo Ben SANANE.. AZORI na wengineo.. vinginevyo wewe ni ndezi tu

Ohoo!
Sipo hapa kupata uhalali kwako au Kwa mtu yeyote.

Hata huu Uzi kuna ambao hawatauona Leo hii, hivyo miaka kadhaa ijayo watasema sijaandoka
 
Mdude hajakosea

Na mimi nasema hivi, kama Samia atafuata njia ileile ya kidikteta ya Magufuli, basi wembe uleule tuliotumia kumnyoa Magufuli tutamnyoa nao na yeye pia.

Mimi nampongeza Mdude kwa kauli nzuri kabisa ya kijasiri.

Kama Mdude kakosea mpelekeni mahakamani
Utakuwa na mimba changa wewe,
Kama mlishindwa kumpeleka lowasa wakati mlimuita fisadi na baadae mlipomchukua mkaanza kusema watu wengine wampeleke mahakamani wakati nyie ndo mlikua watuhumu wakubwa kwake,
Hata hivyo siwaelewi ni wapi huwa mnawazia, nyuma au mbele?
 
Kwa wale wafuatiliaji wa siasa katika nchi zilizo na demokrasia matharani Africa ya kusini na Kenya wataona kauli kama hiyo ni cha mtoto tu.
 
Kina Malema kuwapa makavu live marais ni jambo la kawaida sana.

Matharani juzi kati aliposhinda Ciril Ramaphosa aliambiwa kuwa “wewe ni rais wa waSA wote ukawatendee haki sawa, utakapoenda kukengeuka au kuanza ubaguzi, upendeleo, kukosa uadilifu ndipo utaona rangi zetu halisi ni zipi “

Imagine [emoji848][emoji848]

Na imeeleweka miongoni mwa jamii bila unafiki.

Sasa bongo mambo madogo tu mshangao [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mnaompinga Mdude mna matatizo na mnafuata mkumbo. Wembe umekuwa tusi tangu lini? Au kama kuna tusi alilotukana tuoneshe.
Sote tunajua alikuwa akitumia lugha ya matusi kwa Rais aliye[ita. Hapa anamaanisha lugha ile ile ataitumia kwa mama. Au wewe ni mgeni wa post za mdude? Kuna matusi alikuwa anashusha balaa, yaani si freedom of speech tena, ilipitiliza. Angalia mifano ya wembe anaoumaanisha.

mdude.jpeg


mdude2.png
 
Sote tunajua alikuwa akitumia lugha ya matusi kwa Rais aliye[ita. Hapa anamaanisha lugha ile ile ataitumia kwa mama. Au wewe ni mgeni wa post za mdude? Kuna matusi alikuwa anashusha balaa, yaani si freedom of speech tena, ilipitiliza. Angalia mifano ya wembe anaoumaanisha.

View attachment 1842694

View attachment 1842700
Imagine hii ni siasa sasa? Huyu ni mshenzi kabisa nilikuwa namfuatilia sana na niliamini angepitea kama yule saa sita sijui. Anayo bahati sana atulie kwanza aache matusi aisee.

Ameshapata mileage za kutosha atulie aangalie sasa anataka siasa gani na wapi? Ajikite kuangalia future yake, watanzania watamtia ndimu Ila hela ataingia alone
 
Imagine hii ni siasa sasa? Huyu ni mshenzi kabisa nilikuwa namfuatilia sana na niliamini angepitea kama yule saa sita sijui. Anayo bahati sana atulie kwanza aache matusi aisee.

Ameshapata mileage za kutosha atulie aangalie sasa anataka siasa gani na wapi? Ajikite kuangalia future yake, watanzania watamtia ndimu Ila hela ataingia alone
Na awamu iliyopita ilikuwa rahisi watu kumshabikia sababu ya aina ya utawala uliokuwepo. Yaani the enemy of my enemy is my friend bila kujalisha anatumia silaha gani kupambana na adui yangu. Hizo technique hazitozaa matunda awamu hii, na zitamfanya apoteze credibility. Asome alama za nyakati
 
Hajasoma Alana za nyakati atajikuta matatani Tena wakati sasa mpaka ukutwe na hayo mabalaa Ina maana umemchokonoa pweza kwelikweli.

Ila wacha wamtie ujinga, uzuri wake Hadi Godbless Lema ametoa ushauri kwamba dogo atulie kwanza.
Na awamu iliyopita ilikuwa rahisi watu kumshabikia sababu ya aina ya utawala uliokuwepo. Yaani the enemy of my enemy is my friend bila kujalisha anatumia silaha gani kupambana na adui yangu. Hizo technique hazitozaa matunda awami hii, na zitamfanya apoteze credibility. Asome alama za nyakati
 
Na awamu iliyopita ilikuwa rahisi watu kumshabikia sababu ya aina ya utawala uliokuwepo. Yaani the enemy of my enemy is my friend bila kujalisha anatumia silaha gani kupambana na adui yangu. Hizo technique hazitozaa matunda awamu hii, na zitamfanya apoteze credibility. Asome alama za nyakati
Yes it was the enemy of my enemy is my friend, kwa sasa tumeshagawanyika, we no longer have the same enemy. Shauri yake asidhani Ile kelele ya kutaka atolewe kwa sasa itakuwepo kwa Ile magnitude.

Atafia ndani pekee waendelee kuchokonoa tu.

Magu alichukiwa na wengi huyu mama ni ngumu kupata maadui wengi pamoja watakuwepo sababu style yake sio kama ya bwana yule.

Aendelee tu atashangaa wanaomsapoti wengi watajitenga nae kwa sasa. Huu sio muda wa yeye kufanya siasa za enzi Ile, we all needed him by that time Ila sio sasa shauri yake.
 
Huyu Samia ndo alitoa kauli kuhusu Lissu kupigwa risasi kuwa "askari wao huwa hawakosei"

Juzi hapa naye anatoa kauli kuwa “Rais hakosei"

Amewahi kusema kuwa hata wasipopigiwa kura na wananchi watashinda tu

Kisha akamaliza kwa kutoa kauli ya kuvunja katiba kuwa Vyama vifanye mikutano ya ndani tu

Sasa huyu mama ambaye naye ameonyesha kumbe ana elementi za kidikteta akichiwa si ataanza kuwa kama Magufuli?
Kuna haja wembe uliotumika kumnyoa Magufuli utumike huohuo kumnyoa na yeye, Yaana mapambano ya kupinga udhalimu wake non stop
Why CDM wasiamue kufanya hiyo mikutano then waone reaction ya utawala kwa sasa itakuaje? Ni rahisi sana kwa sasa kuitisha mkutano Mwembeyanga then kama nguvu kubwa itatumika itakuwa rahisi kuonesha mabwana wakubwa we are still there, me nafikiri wafanye hivyo kwa sasa
 
Ni kweli bado hajaongea lugha chafu wala hajatukana mtu.

Ila statement yake ya kusema wembe atakaoutumia ni ule ule alioutumia Kwa awamu iliyopita.

Na wembe huo ninaoufahamu ulijawa na matusi, lugha chafu zenye ukakasi, ndio sababu ya Mimi kumtahadharisha
Sielewi kwa nini CDM wanaendelea kumtukana huyu Mama, nadhani wanamtengeneza dikteta mwingine. Makosa madogo madogo yapo, especially kwenye matamshi, hamna mtu kakamilika, Mama ana washauri, wanaweza kumwambia in a minute ishi kama magu, tutakimbiana humu. Magu alikuwa Rais sababu ya CDM na kubenea wao, you are repeating the same mistakes guys, just calm down and tuone huyu Mama anataka kutupeleka wapi. Kuhusu mikutano jaribuni kuita mkutano mmoja and tuone reaction ya utawala wake, siyo kila kitu hadi muambiwe, fuateni hii katiba iliyopo then tuoneshe dunia nzima nini kinaendelea tz
 
huyu fala wa lumumba ROBERT HERIEL akili ubongo wake umeishia kwa MDUDE tu hao wengine yaliyowapata ni sawa tu kwake. shwain sana huyu
Siyo kila mtu ni fala mkuu, kuna makosa mengi huko mliko, ila mmeamua kufumba macho, tujaribu kutengeneza upinzani wa hoja, tusiprovoke watu wenye nguvu kutushinda, sababu hatutashinda, CHADEMA mna wafuasi wengi sana, ila mnachohitaji ni kaustarabu kadogo tu kuendelea kupendwa na kila mtu, and siyo kila mstaarabu ni ccm, wengine wanapenda siasa safi tu
 
CCm wamebadilika CDM mjiitahidi kubadilika pia, muwe wastaarabu kwa sasa tutatakuwa upande wenu, hamna mtu anawachukia
 
Back
Top Bottom