Demokrasia haiwafai watu aina ya Mdude Nyagali

Demokrasia haijawahi kuwa mali ya mpumbavu, mpumbavu anahitaji viboko ili awe mwerevu
 
HATA CCM DEMOKRASIA HAIWAFAI
1.Hawataki Vyama vya SIASA vifanye Mikutano
2.Hawataki Tume ya Uchaguzi iwe Huru kwa Vyama vyote kwa maana ya Wajumbe?
3.Hawataki Wasimamizi wa Chaguzi ktk Majimbo wawe huru sio Wakurugenzi ambao ni WANACHAMA wa CCM
 
Yule Mdude ana Psychological problems,mental disorder na malezi mabovu ya kifamilia.
Ukishaona Kijana wa Kiafrika anatukana ovyo watu wazima lazima ujiulize sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…