Mgombea nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha Democratic nchini Marekani Bibi Kamala Harris ameanza kumuwashia taa ya indicator mgombea wa chama cha Republican Bw. Donald Trump.
Hii ni kufuatia matokeo mbalimbali za kura za maoni zilizotolewa na mashirika kadhaa ya nchini humo.
Na kama hali itakuwa hivyo hadi mwisho basi huenda taifa la Marekani likapata rais mwingine mwenye asili ya Afrika kuweza kuliongoza taifa hilo kubwa na tajiri sana duniani na lenye nguvu nyingi za kijeshi.
Hilo pia litadhihirisha jinsi taifa la Marekani ilivyokomaa kidemokrasia kwa kuweza kuchagua mgombea wa nafasi nyeti kama ya urais bila kujali mambo ya kipuuzi kama rangi na jinsia tofauti na nchi nyingi duniani.
l.kphx.net

Kura ya maoni ya kushangaza inaonyesha mabadiliko makubwa katika kinyang'anyiro kati ya Kamala na Trump
Kumekuwa na mabadiliko makubwa katika kinyang'anyiro cha urais baada ya Rais Biden kujiondoa na