Demokrasia iliyopo ndani ya CCM ni mfano wa kuigwa kwa vyama vyote Barani Afrika, hakuna wa kukiondoa madarakani

Ni dalili za kuishiwa hoja ndio maana unaikimbia uwanja,Huwezi ikakua kiakili kwa mawazo yako mwenyewe, lazima Akili yako utadumaa na Nina Ina dalili za kuanza kudumaa kwako maana naonaga kila Siku wewe Ni mtu wa matusi tu
Endelea tu kujidhalilisha. CCM ina wenyewe na wewe siyo mmoja wao, wenyewe wanakuchora tu na ushamba wako.
 
Mbona mnogopa mikutano ya siasa sasa? Ruhusuni muone mziki wa chadema. We unacheza peke yako uwanjani halafu ukifinga unajidai kwamba unajua mpira! Huo ni upumbavu
 
Mbona mnogopa mikutano ya siasa sasa? Ruhusuni muone mziki wa chadema. We unacheza peke yako uwanjani halafu ukifinga unajidai kwamba unajua mpira! Huo ni upumbavu
Hivi ulishaona Marekani wakishamaliza uchaguzi wao wanaanza kuzurula zurula mitaani Kama nyinyi wapinzani mnavyotaka hapa?
 
Hivi ulishaona Marekani wakishamaliza uchaguzi wao wanaanza kuzurula zurula mitaani Kama nyinyi wapinzani mnavyotaka hapa?
Mbona ccm mnafanya mikutano daily na mnashindana kuzulula mikoani. Marekani ingekuwa role model wenu kwa nini hamuigi demokrasia yao thru tume huru ya uchaguzi. Mbona mnaiba kura kila kukicha. Mmeshaona marekani Kuna mbungea ua diwani anapita bila kupingwa popote. Achiezi huo wizi ndo mjisifu mnapendwa au la.
 
Hiyo namba ya simu umeweka ili wasipate shida ya kukupa taarifa pindi uteuliwapo?.
 
Hiyo kazi uliyoivaa kwa sasa we bwana ni kazi ngumu sana. Wenzio wengi wamepitia. Ni kazi ngumu kuisafisha ccm. Imeoza bado tu wananchi kuipinga live barabarani.
Kwa sasa endeleeni tu kunyang'anya chaguzi kwa mabavu
 
Mbona ugolo wa siku ni kama una sumu[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Hiyo kazi uliyoivaa kwa sasa we bwana ni kazi ngumu sana. Wenzio wengi wamepitia. Ni kazi ngumu kuisafisha ccm. Imeoza bado tu wananchi kuipinga live barabarani.
Kwa sasa endeleeni tu kunyang'anya chaguzi kwa mabavu
CCM inaaminika na kukubalika Sana na watanzania,Ndio sababu ya kupigiwa kura na kuungwa mkono kila uchaguzi kunakotokana na kuwa na Sera na ajenda nzuri zinazogusa maisha ya watanzania
 
Inachofanya CCM Ni ufuatiliaji wa utekelezaji wa ilani take katika kuwatumikia na kuwahudumia watanzania,kuangalia Kama watanzania wanapata huduma Bora na stahiki, kuangalia Kama watanzania wanatendewa haki katika kuhudumiwa, kuangalia Kama maendeleo yanakwenda kwa wakati muafaka kwa watanzania,kuangalia Kama Kodi za watanzania zinatumika vyema
 
Yaani samia apate kura 1114 ktk kura 1115??eti ndo demokrasia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi ulishaona Marekani wakishamaliza uchaguzi wao wanaanza kuzurula zurula mitaani Kama nyinyi wapinzani mnavyotaka hapa?
Mbona ccm mnafanya mikutano daily na mnashindana kuzulula mikoani. Marekani ingekuwa role model wenu kwa nini hamuigi demokrasia yao thru tume huru ya uchaguzi. Mbona mnaiba kura kila kukicha. Mmeshaona marekani Kuna mbungea ua diwani anapita bila kupingwa popote.
Katiba inasemaje na kwa nini mnaivunja waziwazi na mahakama zenu zipo kimya. Je mmeshabadilisha katba kinyemela ili tujue!!
 
Naunga mkono hoja. Hata Korea ya Kaskazini wanademokrasia kama ya ccm. Nawahimiza USA nao waige mfano wa demokrasia ya ccm waiweke kwenye katiba yao kabisa ya mwaka 1788
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…