Demokrasia iliyopo ndani ya CCM ni mfano wa kuigwa kwa vyama vyote Barani Afrika, hakuna wa kukiondoa madarakani

CCM sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa.
CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo na ccm ndio chama chenye uchungu na maisha ya watanzania
 
Ndugu zangu CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu,Huwezi ukazikwepa kuzisikia habari za CCM,huwezi ukajipa upofu wa kutokuona ukubwa na mizizi ya cccm hapa nchini,huwezi ukazuia habari za CCM na ukafanikiwa,huwezi ukaishinda CCM katika medani za kisiasa,huwezi ukaibomoa CCM hata kwa nyundo,huwezi ukaisambaratisha CCM kwa mdomo wako au fedha zako au mikono yako,huwezi ukaiteka CCM na kuifanya Kama Mali yako,huwezi ukaiteka CCM na kuiweka mfukoni mwako na ikakaa na kutosha Wala huwezi ukaihifadhi CCM katika begi lako.

CCM Ni kubwa ,Ni kubwa kuliko mtu mwingine yeyote,Ni kubwa kuliko mtu binafsi,Ni kubwa kuliko jina la mtu binafsi,CCM ni Taasisi,Taasisi iliyo imara ,nguvu na ushupavu wa kiuongozi, mizizi ya CCM Ni mirefu mikubwa ,mipana na iliyokwenda mbali sana,. Hakuna taasisis au eneo ambako hutaikuta CCM na Wana CCM,kila mahali lazima uikute CCM,lazima uione CCM,lazima uone sauti,ishara na matawi ya CCM, Ni CCM kila mahali ,Ni ccm kila eneo,Ni CCM kila uendako lazima uikute CCM na kukutana na nguvu ya CCM.

Huwezi ukaitisha Wala kuiyumbisha Wala kuikoromea CCM,.Hakuna mtu mwenye uwezo huo ,hayupo na Wala bado hajazaliwa.ukiondoka CCM kwa mbwembwe utarudi CCM kwa magoti na majuto ya kuondoka. Hakuna anayeweza kuondoka ndani ya CCM na akaiishi kwa amani uhamishoni,lazima aikumbuke CCM maana ndani ya CCM Kuna demokrasia ya kutosha na upendo wa kutosha

Hakuna ubaguzi Wala kubaguana ndani ya CCM,Hakuna udini Wala ukabila Wala ukanda ndani ya CCM,bali ndani ya CCM Kuna watu wa Dini zote,makabila yote na Kanda zote na wote wanaishi kwa amani upendo ushirikiano na mshikamano. Ndani ya CCM yeyote anaweza kuwa kiongozi wa ngazi yoyote Ile bila kujari familia aliyotokea kiuchumi. Ndani ya CCM wanachama wote Wana nafasi sawa,

Kinachokubeba kiuongozi na kuwa kiongozi ndani ya CCM ni Sera zako,sifa zako kiuongozi katika kumudu majukumu ya uongozi, kukubalika kwako na ushawishi wako kwa wanachama wenzako na mengine Kama hayo. Ndani ya CCM mfuko wako wa fedha siyo tiketi ya kupewa uongozi maana unaweza ukatoa fedha na ukanyimwa Kura.

Hakika vyama vingine Barani Afrika vina kila sababu ya kujifunza demokrasia Iliyopo Ndani ya CCM katika kuendesha mambo yake na kushughulikia migogoro ya wanachama wake. Vyama vya upinzani viache kujiendesha Kama vikundi vya watu binafsi kwa maslahi ya familia zao,visijiendshe Kama miradi ya kujipatia vipato binafsi,vsiwe Kama vitega uchumi vya watu kwa maslahi Binafsi.

Hakuna wakuitoa CCM madarakani,Hakuna chama Wala mtu mwenye ubavu huo,hayupo na Wala hajazaliwa bado. Hakuna chama chenye Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania Kama ilivyo kwa CCM,ndio maana vyama vingine vinapuuzwa na kudharaulika Sana, huku CCM ikiendelea kukubalika na kuungwa mkono na mamillion ya watanzania kutokana na umadhubuti na ushupavu wake kiuongozi na kimfumo ulio imara na Thabiti.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa , kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Sahihi kabisa Lucas
 
Kama anaamini basi atakuwa tahira.Ila sababu pekee nayoiona ya kuandika huo upuuzi ni hela anayolipwa
Kama wewe unalipwa kwa ajili ya kuja kutukana watu hapa usifikirie hata Mimi nalipwa kuandika na kuwasilisha mawazo yangu hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20221207-000707_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20221207-000707_Samsung Internet.jpg
    161.5 KB · Views: 3
Membe alikuwa na Msemo wa "Niguse ninuke" kama ngao ya Kujikinga na Mizengwe kutoka kwenye Chama Chake.

Dr.Bashiru kaja na Msemo Mpya wa "Toboa Mtumbwi,tugawane Mbao"

Ndiyo unaowatishia Viongozi wa CCM Kumgusa,kuhofia Chama chao kufa kama watamgusa au Kumuita Ktk Maadili
20221207_122535.jpg
 
Membe alikuwa na Msemo wa "Niguse ninuke" kama ngao ya Kujikinga na Mizengwe kutoka kwenye Chama Chake.

Dr.Bashiru kaja na Msemo Mpya wa "Toboa Mtumbwi,tugawane Mbao"

Ndiyo unaowatishia Viongozi wa CCM Kumgusa,kuhofia Chama chao kufa kama watamgusa au Kumuita Ktk MaadiliView attachment 2438479
Mshana jr ndani ya CCM Hakuna aliye mkubwa na hakuna anayeweza kuitisha CCM kwa maneno au hata matendo, CCM Ni kubwa kuliko mtu Binafsi,CCM Ni kubwa kuliko yeyote,hata uwe umewahi kushika ngazi gani ndani ya CCM na serikali ya CCM utabaki kuwa mdogo kwa CCM, Hii Ni Taasisi kweliii kweliii iliyo imara na nguvu zisizo mithirika ndio maana huwezi ukaichezea CCM kwa namna yoyote ile,. CCM inaweza kukukuza na kukushusha,inaweza kukupa umaarufu na kukubomoa,inaweza kukutengeneza ukawa jitu Kama jabali na inaweza pia ikakushusha ukawa mdogo Kama vidonge vya piritoni, Mtu binafsi huwezi kuishusha CCM maana mfumo wake Ni imara Sana na huwezi kupambana nayo kuiangamiza au kuisambalatisha maana utakuwa unapamba na Dude moja kubwa Sana ambalo huwezi hata kulishika au kujuwa ulipige wapi
 
No ya cm ishaonekana nakushaur ndugu tuma CV yako kweny email address ya CCM itarahisisha hili zoezi!!
Ndugu zangu CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu,Huwezi ukazikwepa kuzisikia habari za CCM,huwezi ukajipa upofu wa kutokuona ukubwa na mizizi ya cccm hapa nchini,huwezi ukazuia habari za CCM na ukafanikiwa,huwezi ukaishinda CCM katika medani za kisiasa,huwezi ukaibomoa CCM hata kwa nyundo,huwezi ukaisambaratisha CCM kwa mdomo wako au fedha zako au mikono yako,huwezi ukaiteka CCM na kuifanya Kama Mali yako,huwezi ukaiteka CCM na kuiweka mfukoni mwako na ikakaa na kutosha Wala huwezi ukaihifadhi CCM katika begi lako.

CCM Ni kubwa ,Ni kubwa kuliko mtu mwingine yeyote,Ni kubwa kuliko mtu binafsi,Ni kubwa kuliko jina la mtu binafsi,CCM ni Taasisi,Taasisi iliyo imara ,nguvu na ushupavu wa kiuongozi, mizizi ya CCM Ni mirefu mikubwa ,mipana na iliyokwenda mbali sana,. Hakuna taasisis au eneo ambako hutaikuta CCM na Wana CCM,kila mahali lazima uikute CCM,lazima uione CCM,lazima uone sauti,ishara na matawi ya CCM, Ni CCM kila mahali ,Ni ccm kila eneo,Ni CCM kila uendako lazima uikute CCM na kukutana na nguvu ya CCM.

Huwezi ukaitisha Wala kuiyumbisha Wala kuikoromea CCM,.Hakuna mtu mwenye uwezo huo ,hayupo na Wala bado hajazaliwa.ukiondoka CCM kwa mbwembwe utarudi CCM kwa magoti na majuto ya kuondoka. Hakuna anayeweza kuondoka ndani ya CCM na akaiishi kwa amani uhamishoni,lazima aikumbuke CCM maana ndani ya CCM Kuna demokrasia ya kutosha na upendo wa kutosha

Hakuna ubaguzi Wala kubaguana ndani ya CCM,Hakuna udini Wala ukabila Wala ukanda ndani ya CCM,bali ndani ya CCM Kuna watu wa Dini zote,makabila yote na Kanda zote na wote wanaishi kwa amani upendo ushirikiano na mshikamano. Ndani ya CCM yeyote anaweza kuwa kiongozi wa ngazi yoyote Ile bila kujari familia aliyotokea kiuchumi. Ndani ya CCM wanachama wote Wana nafasi sawa,

Kinachokubeba kiuongozi na kuwa kiongozi ndani ya CCM ni Sera zako,sifa zako kiuongozi katika kumudu majukumu ya uongozi, kukubalika kwako na ushawishi wako kwa wanachama wenzako na mengine Kama hayo. Ndani ya CCM mfuko wako wa fedha siyo tiketi ya kupewa uongozi maana unaweza ukatoa fedha na ukanyimwa Kura.

Hakika vyama vingine Barani Afrika vina kila sababu ya kujifunza demokrasia Iliyopo Ndani ya CCM katika kuendesha mambo yake na kushughulikia migogoro ya wanachama wake. Vyama vya upinzani viache kujiendesha Kama vikundi vya watu binafsi kwa maslahi ya familia zao,visijiendshe Kama miradi ya kujipatia vipato binafsi,vsiwe Kama vitega uchumi vya watu kwa maslahi Binafsi.

Hakuna wakuitoa CCM madarakani,Hakuna chama Wala mtu mwenye ubavu huo,hayupo na Wala hajazaliwa bado. Hakuna chama chenye Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania Kama ilivyo kwa CCM,ndio maana vyama vingine vinapuuzwa na kudharaulika Sana, huku CCM ikiendelea kukubalika na kuungwa mkono na mamillion ya watanzania kutokana na umadhubuti na ushupavu wake kiuongozi na kimfumo ulio imara na Thabiti.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa , kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
 
CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo na ccm ndio chama chenye uchungu na maisha ya watanzania

Matumaini au mnapora uchaguzi mkae madarakani kwa shuruti ili kushibisha familia zenu? Kukatika kwa umeme ndio utatuzi wa matumaini ya watanzania?
 
Napendekeza huyu chawa Lucas Mwashambwa asijibiwe mwacheni aendelee kujidhalilisha wateuzi wenyewe wameshampuuza
 
Ru

Ruhusuni free na fair election muone Kama hamtiki asubuhi mapema. Polisi wasiingilie mikutano ya vyama vya upinzani muoni Kama hamng'oki asubuhi. Ruhusuni mikutano ya siasa muone Kama hamfungashi vilago kabla jogoo hajawika. Acheni kuteka na kuua kwa masasi Kama mlivyofanya kummiminia lisu lisasi ili kumuua muone Kama hamkojoi haraka Sana. Finally ruhusuni kuwe na time huru ya uchaguzi muone Kama hamjanya karanga.
 
Msafwa

siku hizi amecharuka tatizo hana anuani ya barua pepe.
 
Ru

Ruhusuni free na fair election muone Kama hamtiki asubuhi mapema. Polisi wasiingilie mikutano ya vyama vya upinzani muoni Kama hamng'oki asubuhi. Ruhusuni mikutano ya siasa muone Kama hamfungashi vilago kabla jogoo hajawika. Acheni kuteka na kuua kwa masasi Kama mlivyofanya kummiminia lisu lisasi ili kumuua muone Kama hamkojoi haraka Sana. Finally ruhusuni kuwe na time huru ya uchaguzi muone Kama hamjanya karanga.
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itashinda na kupita kwa kishindooo kikubwa,kinachoibeba CCM Ni Sera na ajenda zake zinazomgusa mtanzania. Utekelezaji Bora wa ilani yake yenye kubeba masuala yote muhimu kwa wananchi ndiko kunakoifanya CCM Kuendelea kuaminika na kukubalika na watanzania
 
Napendekeza huyu chawa Lucas Mwashambwa asijibiwe mwacheni aendelee kujidhalilisha wateuzi wenyewe wameshampuuza
Ni dalili za kuishiwa hoja ndio maana unaikimbia uwanja,Huwezi ikakua kiakili kwa mawazo yako mwenyewe, lazima Akili yako utadumaa na Nina Ina dalili za kuanza kudumaa kwako maana naonaga kila Siku wewe Ni mtu wa matusi tu
 
Ndugu zangu CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu,Huwezi ukazikwepa kuzisikia habari za CCM,huwezi ukajipa upofu wa kutokuona ukubwa na mizizi ya cccm hapa nchini,huwezi ukazuia habari za CCM na ukafanikiwa,huwezi ukaishinda CCM katika medani za kisiasa,huwezi ukaibomoa CCM hata kwa nyundo,huwezi ukaisambaratisha CCM kwa mdomo wako au fedha zako au mikono yako,huwezi ukaiteka CCM na kuifanya Kama Mali yako,huwezi ukaiteka CCM na kuiweka mfukoni mwako na ikakaa na kutosha Wala huwezi ukaihifadhi CCM katika begi lako.

CCM Ni kubwa ,Ni kubwa kuliko mtu mwingine yeyote,Ni kubwa kuliko mtu binafsi,Ni kubwa kuliko jina la mtu binafsi,CCM ni Taasisi,Taasisi iliyo imara ,nguvu na ushupavu wa kiuongozi, mizizi ya CCM Ni mirefu mikubwa ,mipana na iliyokwenda mbali sana,. Hakuna taasisis au eneo ambako hutaikuta CCM na Wana CCM,kila mahali lazima uikute CCM,lazima uione CCM,lazima uone sauti,ishara na matawi ya CCM, Ni CCM kila mahali ,Ni ccm kila eneo,Ni CCM kila uendako lazima uikute CCM na kukutana na nguvu ya CCM.

Huwezi ukaitisha Wala kuiyumbisha Wala kuikoromea CCM,.Hakuna mtu mwenye uwezo huo ,hayupo na Wala bado hajazaliwa.ukiondoka CCM kwa mbwembwe utarudi CCM kwa magoti na majuto ya kuondoka. Hakuna anayeweza kuondoka ndani ya CCM na akaiishi kwa amani uhamishoni,lazima aikumbuke CCM maana ndani ya CCM Kuna demokrasia ya kutosha na upendo wa kutosha

Hakuna ubaguzi Wala kubaguana ndani ya CCM,Hakuna udini Wala ukabila Wala ukanda ndani ya CCM,bali ndani ya CCM Kuna watu wa Dini zote,makabila yote na Kanda zote na wote wanaishi kwa amani upendo ushirikiano na mshikamano. Ndani ya CCM yeyote anaweza kuwa kiongozi wa ngazi yoyote Ile bila kujari familia aliyotokea kiuchumi. Ndani ya CCM wanachama wote Wana nafasi sawa,

Kinachokubeba kiuongozi na kuwa kiongozi ndani ya CCM ni Sera zako,sifa zako kiuongozi katika kumudu majukumu ya uongozi, kukubalika kwako na ushawishi wako kwa wanachama wenzako na mengine Kama hayo. Ndani ya CCM mfuko wako wa fedha siyo tiketi ya kupewa uongozi maana unaweza ukatoa fedha na ukanyimwa Kura.

Hakika vyama vingine Barani Afrika vina kila sababu ya kujifunza demokrasia Iliyopo Ndani ya CCM katika kuendesha mambo yake na kushughulikia migogoro ya wanachama wake. Vyama vya upinzani viache kujiendesha Kama vikundi vya watu binafsi kwa maslahi ya familia zao,visijiendshe Kama miradi ya kujipatia vipato binafsi,vsiwe Kama vitega uchumi vya watu kwa maslahi Binafsi.

Hakuna wakuitoa CCM madarakani,Hakuna chama Wala mtu mwenye ubavu huo,hayupo na Wala hajazaliwa bado. Hakuna chama chenye Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania Kama ilivyo kwa CCM,ndio maana vyama vingine vinapuuzwa na kudharaulika Sana, huku CCM ikiendelea kukubalika na kuungwa mkono na mamillion ya watanzania kutokana na umadhubuti na ushupavu wake kiuongozi na kimfumo ulio imara na Thabiti.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa , kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Hivi hizi ni akili zako, au umepagawa na mapepo. Kwa mtu mwenye akili hawezi andika upuuzi kama huu hata kama ana njaa. Nonsense
 
Back
Top Bottom