NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ambaye huwa anaitisha uchaguzi huru wa kiti cha Mwenyekiti.Na Chadema kwenye demokrasia ambako mwenyekiti ana miaka 20 pale kwenye kiti
Mimi kama mwananchi sitaki nimpigie Rais kura... Halafu nijue kuwa ana bosi anayepigiwa kura na subset ya Taifa (Chama) that's illogical. Na huyo boss anaweza kunulify his(Rais) existence lkwenye.ofisi niliyompigia kura kumchagua na hakuna kitu naweza kufanya juu ya hilo.Unapotenganisha kofia kunakuwa na checks and balances vinginevyo mtaishia kuwa na madikteta!
Je,katiba ya chadema imekiukwa katika hilo?Mbowe amekuwa akihonga au kuwatishia wajumbe ili wamchague?
Kuuliza ukweli ndio kutia aibu wewe buku7 toka Lumumba?Unatia Aibu kaa kimya. Hivi huwa hamna kinyaa mnapoandika upumbavu.
Mbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu CHADEMA lakini anapigiwa kura. Hii ndiyo demokrasia.[emoji1548][emoji1534][emoji1752]
Kumbuka mwenyekiti wa chama hawezi kunulify Urais mwenyewe bali chama kupitia uongozi mzima kwa kupiga kura.Mimi kama mwananchi sitaki nimpigie Rais kura... Halafu nijue kuwa ana bosi anayepigiwa kura na subset ya Taifa (Chama) that's illogical. Na huyo boss anaweza kunulify his(Rais) existence lkwenye.ofisi niliyompigia kura kumchagua na hakuna kitu naweza kufanya juu ya hilo.
Huu utetezi kama wa viongozi wa ug and rwan Hauwezekani. Hakuna demokrasia ya aina hiyo. Binadamu ni viumbe wenye curiosity sana, wna hamu ya kuonja ladha tofauti baada ya muda fulani, hata kama ww ni kiongozi mzuri kiasi gani lazima kuna kipindi hutachaguliwa. Utlist hata mara kadhaa kisha urudishwe. Kuna namna mbowe anafanya.Je,katiba ya chadema imekiukwa katika hilo?Mbowe amekuwa akihonga au kuwatishia wajumbe ili wamchague?
Kiti cha mwenyekiti wa CCM Taifa kiko wazi baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kinachofuata hivi sasa ni kumsimika Mama Samia Suluhu kuwa mwenyekiti mpya baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Hii si sawa kabisa na wala hakuna demokrasia hapo!
Kwanini kusifanyike uchaguzi ili wanachama wenye sifa washindanishwe kwa kupigiwa kura? Iko wapi demokrasia ambayo CCM inajitapa nayo? Makundi ndani ya CCM yanazaliwa kwa sababu hii. Kwani CCM isingeshinda kiti cha Urais utaratibu upi ungefuatwa kumpata mwenyekiti mpya?
Mbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu CHADEMA lakini anapigiwa kura. Hii ndiyo demokrasia.
Kitu cha ajabu kuna viongozi ndani ya CCM wakiongozwa na Polepole wameanza kujipendekeza na kujibebisha kwa Mama Samia ili waendeleze ulaji wao. Pity!
Anayeongoza hivyo chama kuandaa agenda, na kupiga kura anakuwa nani!?Kumbuka mwenyekiti wa chama hawezi kunulify Urais mwenyewe bali chama kupitia uongozi mzima kwa kupiga kura.
Ndiyo,Unataka Mwenyekiti Wa chama amfokee [emoji51]Rais wa Nchi.