Joe Bidden ni Mwenyekiti wa Demcratic Party?Huwezi kuendesha nchi kama the highest ranking officer halafu uwe na bosi wako.ambaye ni kikundi kidogo tu kutoka katika kundikubwa unaloliongoza. Kwa wenye busara kama CCM tumeliona hilo ndio maana Raisi wa Jamuhuri lazima ndio awe Mwenyekiti wa Chama.
Na anakuwa mwenyekiti baada ya kuwa Rais... Sio Kabla. Regardless amepatikana Vipi.. lengo ni kuharmonize operations za taifa.
Sijui Vyama vingine vitatumia utaratibu gani vikipewa dhamana ya kuongoza.. ila natumaini busara ya utaratibu huu itaendelea kutumika.
Mwambe alifanyaje?Ahaaa,Chedema na demokrasia ni mbalimbali.
Zito,Sumaye,Mwambe walitaka uenyekiti,kilichowapata ni kupewa zengwe mpaka wakahama.
Lowasa alikuja Chadema akafikia kwenye kiti cha kugombea Urais bila mchakato.
Naona unalinganisha machungwa na maandazi. Kama unanielewa.Joe Bidden ni Mwenyekiti wa Demcratic Party?
Na Chadema kwenye demokrasia ambako mwenyekiti ana miaka 20 pale kwenye kiti
Huwezi kuendesha nchi kama the highest ranking officer halafu uwe na bosi wako.ambaye ni kikundi kidogo tu kutoka katika kundikubwa unaloliongoza. Kwa wenye busara kama CCM tumeliona hilo ndio maana Raisi wa Jamuhuri lazima ndio awe Mwenyekiti wa Chama.
Na anakuwa mwenyekiti baada ya kuwa Rais... Sio Kabla. Regardless amepatikana Vipi.. lengo ni kuharmonize operations za taifa.
Sijui Vyama vingine vitatumia utaratibu gani vikipewa dhamana ya kuongoza.. ila natumaini busara ya utaratibu huu itaendelea kutumika.
Katiba ya CCM ni tofauti ni ya CHADEMA. Tuna utaratibu mzuri wa kurithisha madaraka ndani ya CCM. Kama unafikiri CHADEMA kunafikiri CHADEMA kuna demokrasia muulize Prof.Kitila Mkumbo, Mwigamba, Zitto, Chacha Wangwe, Sumaye nk kilichowapata baada ya kutamani uenyekiti wa chama hicho!Kiti cha mwenyekiti wa CCM Taifa kiko wazi baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kinachofuata hivi sasa ni kumsimika Mama Samia Suluhu kuwa mwenyekiti mpya baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Hii si sawa kabisa na wala hakuna demokrasia hapo!
Kwanini kusifanyike uchaguzi ili wanachama wenye sifa washindanishwe kwa kupigiwa kura? Iko wapi demokrasia ambayo CCM inajitapa nayo? Makundi ndani ya CCM yanazaliwa kwa sababu hii. Kwani CCM isingeshinda kiti cha Urais utaratibu upi ungefuatwa kumpata mwenyekiti mpya?
Mbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu CHADEMA lakini anapigiwa kura. Hii ndiyo demokrasia.
Kitu cha ajabu kuna viongozi ndani ya CCM wakiongozwa na Polepole wameanza kujipendekeza na kujibebisha kwa Mama Samia ili waendeleze ulaji wao. Pity!
Nini kilimtoa Shibuda CCM?Kati
Katiba ya CCM ni tofauti ni ya CHADEMA. Tuna utaratibu mzuri wa kurithisha madaraka ndani ya CCM. Kama unafikiri CHADEMA kunafikiri CHADEMA kuna demokrasia muulize Prof.Kitila Mkumbo, Mwigamba, Zitto, Chacha Wangwe, Sumaye nk kilichowapata baada ya kutamani uenyekiti wa chama hicho!
Ni katiba gani unasema aisome? Je katiba ya CCM inasema Rais awe mwenyekiti? Nakushauri wewe badala ya kumwambia asome katiba basi wewe ndiye isome vizuri na endapo utakipata hicho kipengele kinachosema hivyo basi Mimi nitakubali kumfuata magufuli huko aliko.Soma Katiba Kiongozi.... Soma. Ni muhimu sana.. kabla hujaungumza juu ya kitu uwe unakijua atleast mara tatu zaidi ya Mtu wa kawaida..
Na tusiwe watu wa kulalamika tuuu..kila wakati.. its unhealthy.. ukiona shida sema utatuzi..sio wakutoa hewani.. soma uone uvunjifu wa taratibu kwa Mujibu wa sheria zinazoongoza swala hilo.. tupe alternative... Unatoka umefaidika kwa kujua na sisi tunasoma bandiko lako tunakuwa tumejua kupitia kwako.
Tusome au tuulize ..tusije kuandika tu for the sake of writing.
Hawa wanajichanganya sana, kama Rais wa nchi ndiye automatically anakuwa mwenyekiti wa chama chao kwa nini waitane tena kumchagua mwenyekiti? Si wapeane taarifa kuwa kuanzia alipoapishwa Samia ndiye amekuwa mwenyekiti na hivyo vikao vinavyoendelea sasa vya kumtafuta Makamu wa Rais angeendesha Samia.Ni katiba gani unasema aisome? Je katiba ya CCM inasema Rais awe mwenyekiti? Nakushauri wewe badala ya kumwambia asome katiba basi wewe ndiye isome vizuri na endapo utakipata hicho kipengele kinachosema hivyo basi Mimi nitakubali kumfuata magufuli huko aliko.
Na unadhani Lissu na Maalim wangeshika hatamu nani angekuwa absolute ruler!?Aina hii ya fikra ndio imetufikisha pabaya. Tanzania sio kisiwa, nasema tena sio kisiwa!! Tuna mambo ya ujumla katika dunia hii. Ulichokisema ndio “chama kushika hatamu”. Utakubali kuwa hata hapa nyumbani, Lissu na marehemu Seif hawakuwa viongozi wa juu kabisa katika vyama vyao. Hii ni ishahidi kuwa kinachofanyika CCM sio utaratibu wa ki-nchi bali ki-CCM. Na Mwinyi wa Zanzibar anawezaje kuongoza Zanzibar na wakati sio hata Mwenyekiti upande wa Zanzibar? Au unasema hapa kuwa anaamliwa na Mwenyekiti/Rais wa Jamhuri mambo ya kufanya? Ikiwa ni hivo, uko wapi uhuru wa mamlaka hiyo yenye bunge na mahakama zake??
Kiazi ni kiazi tu!! Ujuaji mwingiii kumbe hakuna kitu!
Unajua Logic yakufanya hivyo!?Ni katiba gani unasema aisome? Je katiba ya CCM inasema Rais awe mwenyekiti? Nakushauri wewe badala ya kumwambia asome katiba basi wewe ndiye isome vizuri na endapo utakipata hicho kipengele kinachosema hivyo basi Mimi nitakubali kumfuata magufuli huko aliko.
Kwani CCM Zanzibar inakuwa chini ya mwenyekiti yupi!?Aina hii ya fikra ndio imetufikisha pabaya. Tanzania sio kisiwa, nasema tena sio kisiwa!! Tuna mambo ya ujumla katika dunia hii. Ulichokisema ndio “chama kushika hatamu”. Utakubali kuwa hata hapa nyumbani, Lissu na marehemu Seif hawakuwa viongozi wa juu kabisa katika vyama vyao. Hii ni ishahidi kuwa kinachofanyika CCM sio utaratibu wa ki-nchi bali ki-CCM. Na Mwinyi wa Zanzibar anawezaje kuongoza Zanzibar na wakati sio hata Mwenyekiti upande wa Zanzibar? Au unasema hapa kuwa anaamliwa na Mwenyekiti/Rais wa Jamhuri mambo ya kufanya? Ikiwa ni hivo, uko wapi uhuru wa mamlaka hiyo yenye bunge na mahakama zake??
Kiazi ni kiazi tu!! Ujuaji mwingiii kumbe hakuna kitu!
Taratibu ndugu mbona unaharaka sana! Mwenyekiti ni Samia kwani shida ni nini?Kiti cha mwenyekiti wa CCM Taifa kiko wazi baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kinachofuata hivi sasa ni kumsimika Mama Samia Suluhu kuwa mwenyekiti mpya baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Hii si sawa kabisa na wala hakuna demokrasia hapo!
Kwanini kusifanyike uchaguzi ili wanachama wenye sifa washindanishwe kwa kupigiwa kura? Iko wapi demokrasia ambayo CCM inajitapa nayo? Makundi ndani ya CCM yanazaliwa kwa sababu hii. Kwani CCM isingeshinda kiti cha Urais utaratibu upi ungefuatwa kumpata mwenyekiti mpya?
Mbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu CHADEMA lakini anapigiwa kura. Hii ndiyo demokrasia.
Kitu cha ajabu kuna viongozi ndani ya CCM wakiongozwa na Polepole wameanza kujipendekeza na kujibebisha kwa Mama Samia ili waendeleze ulaji wao. Pity!
CHAMA la hovyo sana....ukileta hoja unafukuzwa.CCM demokrasia waijue wapi?watakuambia ndio UTARATIBU WALIOJIWEKEA...[emoji16][emoji16]
Na kwa nini walikimbia CCM kwenda Chadema labda tuanzie hapo?.Siyo tu kuhonga, bali hata kuua na kufukuza wanaojaribu kuwania nafasi hiyo. Kwanini Lowasa na Sumaye walikimbia Chadema?