Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Sumaye huenda alikuwa ni Pandikizi, mtu wa Kitengo. Amekuwa waziri mkuu miaka 10. Anajua'' in and out'' za usalama wa Taifa.Kumpa uwenyekiti ilikuwa risk kubwa sana kwa chadema.Sumaye aliambiwa "sumu haionjwi" ni baada ya kutaka uwenyekiti. Sitazungumzia ya Zitto, Wangwe na wengineo. Siasa ni biashara mkuu
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Ingekuwa ndio mwisho wa chdema. Rejea: Uenyekiti wa Lyatonga Mrema na NCCR -Mageuzi. Chadema na viongozi kama Mbowe, Lissu, Lema wapo kupigania chama kuliko maslahi yao binafsi. Pamoja na mbinu zote chafu za Jiwe ,lakini mapaka leo wapo chamani!