Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Ni katiba gani unasema aisome? Je katiba ya CCM inasema Rais awe mwenyekiti? Nakushauri wewe badala ya kumwambia asome katiba basi wewe ndiye isome vizuri na endapo utakipata hicho kipengele kinachosema hivyo basi Mimi nitakubali kumfuata magufuli huko aliko.
Tusingependa kumpoteza “mzalendo “ mwingine for the sake of arguments!
Chief, Hebu kata mzizi wa fitna, tupatie hapa kipengele cha katiba ya ccm kuhusiana na vile chairman anapatikana, please.
Thank you...