Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Maono kuelekea Tanzania isiyo ya kidemokrasia:
Watanzania demokrasia nchini itakapo toweka kwasababu ya watu wenye tamaa za madaraka kinyume na utaratibu tulioweka wengi wenu mtakufa na kutekwa usalama wa taifa utazorota, huduma za msingi zitapungua na gharama za maisha zitapanda, kodi nyingi na madeni vitaongezeka
nchi itajawa kwa rushwa na haki kwenye vyombo vya kisheria vitatoweka nchi itakuwa sio sehemu salama tena ya kuishi, kwa sababu ya rushwa rasilimali zenu zote mtanyang'anywa na kupewa wageni wasio wazawa wa nchi yenu mtabaki kama yatima.
wengi wenu mtachukuliwa mateka kwenye nchi yenu na kufanywa wapendavyo hao watu wabaya, watoto zenu wata chukuliwa mateka pia nanyi mtabikiwa na vilio nchi nzima.
Watanzania tulindeni demokrasia tuwapingine wale watu wasio na akili wenye tamaa za madaraka kwa makusudi yao binafsi hawa watauwa watu kwa risasi, watawachukueni mateka, hawa watauza rasilimali za nchi, wataigawa nchi kwa rushwa kwenye mamlaka zote wata liingiza taifa kwenye madeni makubwa na kuwawekeeni kodi kubwa ili wajinufaishe wao wenyewe.