Demokrasia, kama jicho na mlango wa mabeberu wa kufanya chochote wapendacho kwa nchi changa!

Demokrasia, kama jicho na mlango wa mabeberu wa kufanya chochote wapendacho kwa nchi changa!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Nchi kama China walifanikiwa kuliona hili na kulidhibiti mapema kwa jinsi wawezavyo, katika ulimwengu wa sasa tunashuudia mengi sana, zelensky alipogomea kugawa maliasili zake, basi, marekani kwa haraka sana alianzisha vikao na mpinzani wa zelensky wa kisiasa, nchini humo,
Mabeberu wanafahamu ili upate maendeleo basi taifa huitaji utulivu, masikilizano, mipango madhubuti,
#Tuwe makini sana na lango hili la shetani.
 
Back
Top Bottom