Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nchi kama China walifanikiwa kuliona hili na kulidhibiti mapema kwa jinsi wawezavyo, katika ulimwengu wa sasa tunashuudia mengi sana, zelensky alipogomea kugawa maliasili zake, basi, marekani kwa haraka sana alianzisha vikao na mpinzani wa zelensky wa kisiasa, nchini humo,
Mabeberu wanafahamu ili upate maendeleo basi taifa huitaji utulivu, masikilizano, mipango madhubuti,
#Tuwe makini sana na lango hili la shetani.
Mabeberu wanafahamu ili upate maendeleo basi taifa huitaji utulivu, masikilizano, mipango madhubuti,
#Tuwe makini sana na lango hili la shetani.