Demokrasia: Mbowe na Lipumba washauriwe wapishe na ziingie fikra mpya kwenye Siasa za Vyama vingi

Hicho kinachomliza mleta mada ni nini kama hata Mbowe anashindana kwenye uchaguzi?
Kwahiyo kama atakuwa ana shinda uchaguz hakuna shida aongoze tuh hata milele?
 
Kwahiyo kama atakuwa ana shinda uchaguz hakuna shida aongoze tuh hata milele?

Jibu langu limeendana na alichoongea niliyemquote. Hata hivyo mimi sio muumini wa kiongozi yoyote kukaa madarakani zaidi ya miaka 10, kwenye nafasi ya kuchaguliwa ikiwemo huyo Mbowe, na msimamo wangu uko wazi kwenye hilo hapa jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…