Demokrasia na mila ni pacha

Unaonaje baba/mama wa familia akawa ndiye mharibu familia. Je, watoto wakianza kumsema kwamba hana akili wanakosea na wamwache tu afanye atakavyo? Kijana mmoja aliwahi kumpiga baba mmoja aliyeletwa na mama yake mzazi chumbani kwa baba. Vipi mama wa kambo (ambaye hakuchuma mali na baba ila aliikuta) aliyeachiwa madaraka/mali na marehemu baba, kisha mama huyu akaanza kugawa utajiri/magari kwa wanaume wengine huku watoto wakiangalia jinsi mama huyu anavyotapanya. Hivi kuna kosa watoto hawa wakipambania mali ya baba yao ambayo kimsingi ni mali yao?.
 

Unaelewa hata mana ya neno demokrasia?
 
Hizo haki za binadamu umepewa na wazazi wako? Je watoto wako na wanao unawapa haki zao? Usihubiri kile usichokifanya. Mtoto wako akiimba utamwambia acha sitaki kelele, akigusa pumbu zako unampiga kofi la kufa mtu husemi chezea tu ni za baba yako. Demokrasia lazima ifuate watu sio watu wafute demokrasia.
 
Shida ukiwa na akili ndogo ni ngumu kutofautisha katika ya kukosolewa na kutukanwa.
 
Wazee wa uko watamhukumu mkosaji kwa mujibu wa Mila na desturi zao wanazoziishi, hawawezi kumhukumu baba huyo au mtoto huyo kwa kufuata Mila za ukoo na kabila lingine. Huwezi ku import solution.
 
Ukishasema democracy, umemaanisha western. Maana huko ndipo tulipoitolea.

Naheshimu maoni yako. Lkn ukienda kwenye philosophy of law and comparative law perspective, democracy existed on earth from time immemorial.
 
Shida ukiwa na akili ndogo ni ngumu kutofautisha katika ya kukosolewa na kutukanwa.
Jamii ndiyo inayoamua lipi ni tusi na lipi sio tusi, hivi ni vibaya na vile ni vizuri, (social construction). Jamii ndiyo inayohukumu kwa kutumia maoni ya jamii husika. Shida ya wanasiasa uchwara ni ku copy ya Ulaya kama yalivyo na ku apply vilevile kwenye jamii yetu. Huo ni ujinga tu.
 
Jambo kuhamliwa na jamii bado haiondoi maana ya nilichosema maana ata kwenye jamii kuna kundi la wenye akili ndogo na wenye uelewa
 
Jambo kuhamliwa na jamii bado haiondoi maana ya nilichosema maana ata kwenye jamii kuna kundi la wenye akili ndogo na wenye uelewa
Jamii ndio inayotoa tafsiri ya ulichomtendea mkeo, mtoto, jirani, baba yako au mkweo kuwa ni sahihi au makosa kwa mujibu wa mila na desturi zao pale, kabila lao, au ukoo wao. Hata demokrasia yetu lazima ifuate ukweli huu, mfano, hatutegemei tuwe na Katiba itakayoruhusu kumuoa dada yako kwa kigezo Cha kupanua demokrasia ya mtu kuoa anaemtaka.
 
Taifa sio mfano wa familia, mifano yako haina uhalisia.
Kwenye taifa kuna katiba kwenye familia hakuna katiba.
Kwahiyo kwakuwa Wazungu wanatunza wazee wao kwenye makambi ya wazee na sisi tuwaige wao kuwaondoa wazee wetu majumbani mwetu. Demokrasia lazima ifundishwe upya.
 
Unazungumziaje huu utaratibu wa kupata viongozi kwa kupora chaguzi. Huu ndio utamaduni wetu?
 
Wewe mama ni mpumbavu sana, wanawake sijui mna matatizo gani ?!.
 
EXCELLENT
 
Kwahiyo kwakuwa Wazungu wanatunza wazee wao kwenye makambi ya wazee na sisi tuwaige wao kuwaondoa wazee wetu majumbani mwetu. Demokrasia lazima ifundishwe upya.
Kwahiyo wazungu wanatunza wazee wao kwenye nyumba za kutunzia wazee kwa muongozo wa demokrasia ama? Unachanganya demokrasia na tabia nyingine za jamii ili kuleta utetezu kwa hawa viongozi wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi. Hakuna matusi mabaya kama viongozi kuingia madarakani kwa kupora chaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…