Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Familia ni Taifa la Mungu, sauti ya wananchi ni sauti ya Mungu, Mamlaka hutoka kwa Mungu.Sidhani Kama ni sahihi kufananisha nyumba ya familia na taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia ni Taifa la Mungu, sauti ya wananchi ni sauti ya Mungu, Mamlaka hutoka kwa Mungu.Sidhani Kama ni sahihi kufananisha nyumba ya familia na taifa.
Angalia nyumbani kwenu, nyumbani kwako na kwenye familia yenu kama kuna demokrasia ya kiasi gani? Je, wazazi wamewapa watoto demokrasia ya kusema, kutenda na kuamua kiasi gani? Je, baba anaruhisiwa kumuoa mtoto wake? Je, baba anaweza kuvumilia matusi ya mtoto wake? Je, Binti anaweza kumleta boyfriend wake kwa wazazi bila shida? Je, mtoto anaweza kulala chumba cha wazazi wake?
Demokrasia inaanzia ngazi ya familia. Demokrasia ni kama lugha, lugha isiyozungumzwa nyumbani kwenye familia haiwezi kuzungumzwa vizuri kwenye ngazi ya taifa; na demokrasia isiyotendwa kwa ufasaha kwenye ngazi ya familia haiwezi kutendwa kwa ufasaha kwenye ngazi ya kitaifa.
Ndiyo maana hutuwezi kuvumilia demokrasia ya kutukanana kwenye majukwaa kwakuwa huo sio utamaduni wetu huko majumbani tulikolelewa na tulikozaliwa na kukulia.
Maana majumbani hakuna demokrasia, chekechea hakukua na demokrasia, miaka 7 ya shule ya msingi hakukua na demokrasia shuleni, miaka 4 ya secondary hakuna demokrasia, miaka 2 ya A level wanafumzi hawana demokrasia na hata vyuoni hakuna demokrasia ya kusema, kuvaa, kunyoa, Wala kuahirisha mtihani, hivyo hata majukwaani hakuwezi kuwa na demokrasia pana kiasi hicho cha kuporomosha matusi hadharani bila kuulizwa ulitoa wapi hilo.
Tusiwe kama dodoki zoazoa wa demokrasia ya Magharibi na kuleta Huku kwetu kama ilivyo wakati background zetu ni tofauti sana. Demokrasia ya Wazungu imeanzia kwenye ngazi ya familia, watoto wao hawana acha (don't) nyingi kama watoto wetu. Think globally and act locally.
Mwanasiasa msomi lazima analijua hili, kama ukimuona anatukana hadharani viongozi wake lazima analo lingine moyoni na kichwani zaidi ya siasa na demokrasia. Tumvunje kichwa chake kabla hajavunja vichwa vyetu sote.
Hizo haki za binadamu umepewa na wazazi wako? Je watoto wako na wanao unawapa haki zao? Usihubiri kile usichokifanya. Mtoto wako akiimba utamwambia acha sitaki kelele, akigusa pumbu zako unampiga kofi la kufa mtu husemi chezea tu ni za baba yako. Demokrasia lazima ifuate watu sio watu wafute demokrasia.Mila na desturi za Africa zilikuwa ni Ufalme na Uchifu ila sasa hivi tuna Marais karibia bara lote, uarabuni sasa hivi kuna viongozi wanawake, Marekani watu weusi na wanawake wanapiga kura karne hii.
Human rights are universal, sio suala la mila na desturi za jamii fulani. Mambo mengine ni common sense na maendeleo ya ustaarabu wala sio suala la mila na desturi za jamii fulani. Duniani kote hakuna nchi inaruhusu watoto na wazazi kuoana au binadamu kuchinjana.
Wazee wa uko watamhukumu mkosaji kwa mujibu wa Mila na desturi zao wanazoziishi, hawawezi kumhukumu baba huyo au mtoto huyo kwa kufuata Mila za ukoo na kabila lingine. Huwezi ku import solution.Unaonaje baba/mama wa familia akawa ndiye mharibu familia. Je, watoto wakianza kumsema kwamba hana akili wanakosea na wamwache tu afanye atakavyo? Kijana mmoja aliwahi kumpiga baba mmoja aliyeletwa na mama yake mzazi chumbani kwa baba. Vipi mama wa kambo (ambaye hakuchuma mali na baba ila aliikuta) aliyeachiwa madaraka/mali na marehemu baba, kisha mama huyu akaanza kugawa utajiri/magari kwa wanaume wengine huku watoto wakiangalia jinsi mama huyu anavyotapanya. Hivi kuna kosa watoto hawa wakipambania mali ya baba yao ambayo kimsingi ni mali yao?.
Ukishasema democracy, umemaanisha western. Maana huko ndipo tulipoitolea.
Jamii ndiyo inayoamua lipi ni tusi na lipi sio tusi, hivi ni vibaya na vile ni vizuri, (social construction). Jamii ndiyo inayohukumu kwa kutumia maoni ya jamii husika. Shida ya wanasiasa uchwara ni ku copy ya Ulaya kama yalivyo na ku apply vilevile kwenye jamii yetu. Huo ni ujinga tu.Shida ukiwa na akili ndogo ni ngumu kutofautisha katika ya kukosolewa na kutukanwa.
Jambo kuhamliwa na jamii bado haiondoi maana ya nilichosema maana ata kwenye jamii kuna kundi la wenye akili ndogo na wenye uelewaJamii ndiyo inayoamua lipi ni tusi na lipi sio tusi, hivi ni vibaya na vile ni vizuri, (social construction). Jamii ndiyo inayohukumu kwa kutumia maoni ya jamii husika. Shida ya wanasiasa uchwara ni ku copy ya Ulaya kama yalivyo na ku apply vilevile kwenye jamii yetu. Huo ni ujinga tu.
Jamii ndio inayotoa tafsiri ya ulichomtendea mkeo, mtoto, jirani, baba yako au mkweo kuwa ni sahihi au makosa kwa mujibu wa mila na desturi zao pale, kabila lao, au ukoo wao. Hata demokrasia yetu lazima ifuate ukweli huu, mfano, hatutegemei tuwe na Katiba itakayoruhusu kumuoa dada yako kwa kigezo Cha kupanua demokrasia ya mtu kuoa anaemtaka.Jambo kuhamliwa na jamii bado haiondoi maana ya nilichosema maana ata kwenye jamii kuna kundi la wenye akili ndogo na wenye uelewa
Kwahiyo kwakuwa Wazungu wanatunza wazee wao kwenye makambi ya wazee na sisi tuwaige wao kuwaondoa wazee wetu majumbani mwetu. Demokrasia lazima ifundishwe upya.Taifa sio mfano wa familia, mifano yako haina uhalisia.
Kwenye taifa kuna katiba kwenye familia hakuna katiba.
Unazungumziaje huu utaratibu wa kupata viongozi kwa kupora chaguzi. Huu ndio utamaduni wetu?Angalia nyumbani kwenu, nyumbani kwako na kwenye familia yenu kama kuna demokrasia ya kiasi gani? Je, wazazi wamewapa watoto demokrasia ya kusema, kutenda na kuamua kiasi gani? Je, baba anaruhisiwa kumuoa mtoto wake? Je, baba anaweza kuvumilia matusi ya mtoto wake? Je, Binti anaweza kumleta boyfriend wake kwa wazazi bila shida? Je, mtoto anaweza kulala chumba cha wazazi wake?
Demokrasia inaanzia ngazi ya familia. Demokrasia ni kama lugha, lugha isiyozungumzwa nyumbani kwenye familia haiwezi kuzungumzwa vizuri kwenye ngazi ya taifa; na demokrasia isiyotendwa kwa ufasaha kwenye ngazi ya familia haiwezi kutendwa kwa ufasaha kwenye ngazi ya kitaifa.
Ndiyo maana hutuwezi kuvumilia demokrasia ya kutukanana kwenye majukwaa kwakuwa huo sio utamaduni wetu huko majumbani tulikolelewa na tulikozaliwa na kukulia.
Maana majumbani hakuna demokrasia, chekechea hakukua na demokrasia, miaka 7 ya shule ya msingi hakukua na demokrasia shuleni, miaka 4 ya secondary hakuna demokrasia, miaka 2 ya A level wanafumzi hawana demokrasia na hata vyuoni hakuna demokrasia ya kusema, kuvaa, kunyoa, Wala kuahirisha mtihani, hivyo hata majukwaani hakuwezi kuwa na demokrasia pana kiasi hicho cha kuporomosha matusi hadharani bila kuulizwa ulitoa wapi hilo.
Tusiwe kama dodoki zoazoa wa demokrasia ya Magharibi na kuleta Huku kwetu kama ilivyo wakati background zetu ni tofauti sana. Demokrasia ya Wazungu imeanzia kwenye ngazi ya familia, watoto wao hawana acha (don't) nyingi kama watoto wetu. Think globally and act locally.
Mwanasiasa msomi lazima analijua hili, kama ukimuona anatukana hadharani viongozi wake lazima analo lingine moyoni na kichwani zaidi ya siasa na demokrasia. Tumvunje kichwa chake kabla hajavunja vichwa vyetu sote.
Hoja yako ni Nini hapa dogo?Familia ni Taifa la Mungu, sauti ya wananchi ni sauti ya Mungu, Mamlaka hutoka kwa Mungu.
Wewe ni mpumbavuFamilia ni Taifa la Mungu, sauti ya wananchi ni sauti ya Mungu, Mamlaka hutoka kwa Mungu.
Wewe mama ni mpumbavu sana, wanawake sijui mna matatizo gani ?!.Angalia nyumbani kwenu, nyumbani kwako na kwenye familia yenu kama kuna demokrasia ya kiasi gani? Je, wazazi wamewapa watoto demokrasia ya kusema, kutenda na kuamua kiasi gani? Je, baba anaruhisiwa kumuoa mtoto wake? Je, baba anaweza kuvumilia matusi ya mtoto wake? Je, Binti anaweza kumleta boyfriend wake kwa wazazi bila shida? Je, mtoto anaweza kulala chumba cha wazazi wake?
Demokrasia inaanzia ngazi ya familia. Demokrasia ni kama lugha, lugha isiyozungumzwa nyumbani kwenye familia haiwezi kuzungumzwa vizuri kwenye ngazi ya taifa; na demokrasia isiyotendwa kwa ufasaha kwenye ngazi ya familia haiwezi kutendwa kwa ufasaha kwenye ngazi ya kitaifa.
Ndiyo maana hutuwezi kuvumilia demokrasia ya kutukanana kwenye majukwaa kwakuwa huo sio utamaduni wetu huko majumbani tulikolelewa na tulikozaliwa na kukulia.
Maana majumbani hakuna demokrasia, chekechea hakukua na demokrasia, miaka 7 ya shule ya msingi hakukua na demokrasia shuleni, miaka 4 ya secondary hakuna demokrasia, miaka 2 ya A level wanafumzi hawana demokrasia na hata vyuoni hakuna demokrasia ya kusema, kuvaa, kunyoa, Wala kuahirisha mtihani, hivyo hata majukwaani hakuwezi kuwa na demokrasia pana kiasi hicho cha kuporomosha matusi hadharani bila kuulizwa ulitoa wapi hilo.
Tusiwe kama dodoki zoazoa wa demokrasia ya Magharibi na kuleta Huku kwetu kama ilivyo wakati background zetu ni tofauti sana. Demokrasia ya Wazungu imeanzia kwenye ngazi ya familia, watoto wao hawana acha (don't) nyingi kama watoto wetu. Think globally and act locally.
Mwanasiasa msomi lazima analijua hili, kama ukimuona anatukana hadharani viongozi wake lazima analo lingine moyoni na kichwani zaidi ya siasa na demokrasia. Tumvunje kichwa chake kabla hajavunja vichwa vyetu sote.
EXCELLENTAngalia nyumbani kwenu, nyumbani kwako na kwenye familia yenu kama kuna demokrasia ya kiasi gani? Je, wazazi wamewapa watoto demokrasia ya kusema, kutenda na kuamua kiasi gani? Je, baba anaruhisiwa kumuoa mtoto wake? Je, baba anaweza kuvumilia matusi ya mtoto wake? Je, Binti anaweza kumleta boyfriend wake kwa wazazi bila shida? Je, mtoto anaweza kulala chumba cha wazazi wake?
Demokrasia inaanzia ngazi ya familia. Demokrasia ni kama lugha, lugha isiyozungumzwa nyumbani kwenye familia haiwezi kuzungumzwa vizuri kwenye ngazi ya taifa; na demokrasia isiyotendwa kwa ufasaha kwenye ngazi ya familia haiwezi kutendwa kwa ufasaha kwenye ngazi ya kitaifa.
Ndiyo maana hutuwezi kuvumilia demokrasia ya kutukanana kwenye majukwaa kwakuwa huo sio utamaduni wetu huko majumbani tulikolelewa na tulikozaliwa na kukulia.
Maana majumbani hakuna demokrasia, chekechea hakukua na demokrasia, miaka 7 ya shule ya msingi hakukua na demokrasia shuleni, miaka 4 ya secondary hakuna demokrasia, miaka 2 ya A level wanafumzi hawana demokrasia na hata vyuoni hakuna demokrasia ya kusema, kuvaa, kunyoa, Wala kuahirisha mtihani, hivyo hata majukwaani hakuwezi kuwa na demokrasia pana kiasi hicho cha kuporomosha matusi hadharani bila kuulizwa ulitoa wapi hilo.
Tusiwe kama dodoki zoazoa wa demokrasia ya Magharibi na kuleta Huku kwetu kama ilivyo wakati background zetu ni tofauti sana. Demokrasia ya Wazungu imeanzia kwenye ngazi ya familia, watoto wao hawana acha (don't) nyingi kama watoto wetu. Think globally and act locally.
Mwanasiasa msomi lazima analijua hili, kama ukimuona anatukana hadharani viongozi wake lazima analo lingine moyoni na kichwani zaidi ya siasa na demokrasia. Tumvunje kichwa chake kabla hajavunja vichwa vyetu sote.
Kwahiyo wazungu wanatunza wazee wao kwenye nyumba za kutunzia wazee kwa muongozo wa demokrasia ama? Unachanganya demokrasia na tabia nyingine za jamii ili kuleta utetezu kwa hawa viongozi wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi. Hakuna matusi mabaya kama viongozi kuingia madarakani kwa kupora chaguzi.Kwahiyo kwakuwa Wazungu wanatunza wazee wao kwenye makambi ya wazee na sisi tuwaige wao kuwaondoa wazee wetu majumbani mwetu. Demokrasia lazima ifundishwe upya.
saw mwerevuWewe ni mpumbavu