nailazimisha furaha ingawa moyoni nina majonzi by Lady Jay Dee šUtawala huu ndani ya chama demokrasia ipo juu
Mfano Mrema na kundi lake la G55 linatoa kauli hasi dhidi ya viongozi.
Mfano wanawaita viongozi viburi, jeuri, Waliohamia juzi kukiua chama na kila jina baya tofauti na utawala wa Mbowe.
Wakati wa Mbowe mtu pekee ambae akikosoa utawala wa Mbowe ni lissu lkn hivi sasa Ntobi, machomi na mrema wanachama wa chini kabisa hupaza sauti.
Hii ni demokrasia ya hali ya juu kuliko utawala wa Mbowe
SEMA UKWELI JAPO KUWA UNAUMA
Utawala huu ndani ya chama demokrasia ipo juu
Mfano Mrema na kundi lake la G55 linatoa kauli hasi dhidi ya viongozi.
Mfano wanawaita viongozi viburi, jeuri, Waliohamia juzi kukiua chama na kila jina baya tofauti na utawala wa Mbowe.
Wakati wa Mbowe mtu pekee ambae akikosoa utawala wa Mbowe ni lissu lkn hivi sasa Ntobi, machomi na mrema wanachama wa chini kabisa hupaza sauti.
Hii ni demokrasia ya hali ya juu kuliko utawala wa Mbowe
SEMA UKWELI JAPO KUWA UNAUMA
š„“škumbe nilipaswa kua na risiti kabla ya kucheka, right? kulipia ni wap sasa š
Hao walitumikia vyama viwili na bado wanang'ang'ania waendelee.Utawala huu ndani ya chama demokrasia ipo juu
Mfano Mrema na kundi lake la G55 linatoa kauli hasi dhidi ya viongozi.
Mfano wanawaita viongozi viburi, jeuri, Waliohamia juzi kukiua chama na kila jina baya tofauti na utawala wa Mbowe.
Wakati wa Mbowe mtu pekee ambae akikosoa utawala wa Mbowe ni lissu lkn hivi sasa Ntobi, machomi na mrema wanachama wa chini kabisa hupaza sauti.
Hii ni demokrasia ya hali ya juu kuliko utawala wa Mbowe
SEMA UKWELI JAPO KUWA UNAUMA
š§š„“š
š¤£š¤£š¤£Upo njema lakiniš§
niko vizuri balaa aise,š¤£š¤£š¤£Upo njema lakini
Siasa zitakuua...huna ratiba ya kustarehe baadae...at least upunguze sumu kwa headniko vizuri balaa aise,
hapa namalizia kufakamia haya sijui ndio mabiriani kisha nikae nimskize huyu mropokaji wa chadema anasema nini hapa š
Huyu shetani kabisaRafiki yako [B]Tlaatlaah[/B] kachekaš¤
SOON WANAFUKUZWA UANACHAMA NA MBONA TAYARI WALISHAANZA KUFUKUZWA, SASA HIVI NI LICHHAMA LA HOVYO KABISA KUWAHI KUTOKEA TZUtawala huu ndani ya chama demokrasia ipo juu
Mfano Mrema na kundi lake la G55 linatoa kauli hasi dhidi ya viongozi.
Mfano wanawaita viongozi viburi, jeuri, Waliohamia juzi kukiua chama na kila jina baya tofauti na utawala wa Mbowe.
Wakati wa Mbowe mtu pekee ambae akikosoa utawala wa Mbowe ni lissu lkn hivi sasa Ntobi, machomi na mrema wanachama wa chini kabisa hupaza sauti.
Hii ni demokrasia ya hali ya juu kuliko utawala wa Mbowe
SEMA UKWELI JAPO KUWA UNAUMA
Anajua anachopewa,hivyo hawezi ona vibaya kuumiza wengine mkuuHuyu shetani kabisa
Hizi ten ten za kitapeliAnajua anachopewa,hivyo hawezi ona vibaya kuumiza wengine mkuu
siasa ni maisha siasa ni starehe ndugu mdau,Siasa zitakuua...huna ratiba ya kustarehe baadae...at least upunguze sumu kwa head
Unafikiri kama njama zenu CCM kulazimisha Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti zingefanikiwa Lissu angekuwepo Chadema? Mbowe alishasema baada ya uchaguzi angewashughulikia lakini ndiyo hivyo akalamishwa sakafu.LIssu alimuita Mbowe mla rushwa na kahongwa na Abdul bado alivumiliwa...lissu katekenywa kidogo tu kaondoa wote waliomtekenya..