PreGE2025 Demokrasia ndani ya CHADEMA kwa sasa imekua kuliko kwenye utawala wa Mbowe

PreGE2025 Demokrasia ndani ya CHADEMA kwa sasa imekua kuliko kwenye utawala wa Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unafikiri kama njama zenu CCM kulazimisha Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti zingefanikiwa Lissu angekuwepo Chadema? Mbowe alishasema baada ya uchaguzi angewashughulikia lakini ndiyo hivyo akalamishwa sakafu.
Wewe ndio umesema mbowe ni mkomavu..
 
SOON WANAFUKUZWA UANACHAMA NA MBONA TAYARI WALISHAANZA KUFUKUZWA, SASA HIVI NI LICHHAMA LA HOVYO KABISA KUWAHI KUTOKEA TZ
Hao vibaka tayari wameshapokelewa ACT Wazalendo wanachofanya ni kutaka tu kuvuruga amani ndani ya Chadema ili waendelee kula hela ya Abduli.
 
Back
Top Bottom