kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,141 Reaction score 24,449 Apr 23, 2025 #21 CHIEF PRIEST said: Unafikiri kama njama zenu CCM kulazimisha Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti zingefanikiwa Lissu angekuwepo Chadema? Mbowe alishasema baada ya uchaguzi angewashughulikia lakini ndiyo hivyo akalamishwa sakafu. Click to expand... Wewe ndio umesema mbowe ni mkomavu..
CHIEF PRIEST said: Unafikiri kama njama zenu CCM kulazimisha Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti zingefanikiwa Lissu angekuwepo Chadema? Mbowe alishasema baada ya uchaguzi angewashughulikia lakini ndiyo hivyo akalamishwa sakafu. Click to expand... Wewe ndio umesema mbowe ni mkomavu..
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 Apr 23, 2025 #22 mihapase said: SOON WANAFUKUZWA UANACHAMA NA MBONA TAYARI WALISHAANZA KUFUKUZWA, SASA HIVI NI LICHHAMA LA HOVYO KABISA KUWAHI KUTOKEA TZ Click to expand... Hao vibaka tayari wameshapokelewa ACT Wazalendo wanachofanya ni kutaka tu kuvuruga amani ndani ya Chadema ili waendelee kula hela ya Abduli.
mihapase said: SOON WANAFUKUZWA UANACHAMA NA MBONA TAYARI WALISHAANZA KUFUKUZWA, SASA HIVI NI LICHHAMA LA HOVYO KABISA KUWAHI KUTOKEA TZ Click to expand... Hao vibaka tayari wameshapokelewa ACT Wazalendo wanachofanya ni kutaka tu kuvuruga amani ndani ya Chadema ili waendelee kula hela ya Abduli.
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 Apr 23, 2025 #23 kipara kipya said: Wewe ndio umesema mbowe ni mkomavu.. Click to expand... Usinilishe maneno.
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,141 Reaction score 24,449 Apr 23, 2025 #24 CHIEF PRIEST said: Usinilishe maneno. Click to expand... 😀😀
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,577 Reaction score 23,171 Apr 23, 2025 #25 na kufika 2029 ,hao watu chadema hawatakuwepo watajifirta wenyewe