Michael Dudicoff
JF-Expert Member
- Aug 20, 2024
- 233
- 296
Mleta uzi ana akili na uelewa mzuri kuliko wewe unaefikiri kwa kutumia mavi ya wazungu ulijaza kichwani mwako! Mleta mada ametoa mifano ya nchi kama china nk ambazo hazina demokrasia lakini zina maendeleo makubwa. Unataka tuwe na upumbavu kama walibya waliomuondoa madarakani dikteta Muamar Gadafi ili wapate demokrasia matokeo yake wamepoteza maendeleo na neema walizokuwa nazo chini ya utawala wa kidikteta.Uzi wa kijinga sana huu.
Inaonekana mleta mada umezaliwa kuanzia mwaka 2000 na kuendelea.
Hivi hujui Tanzania kuanzia 1969 - 1992 tulikuwa hatufuati mfumo wa kidemokrasia kama tuliokuwa nao sasa?
Tuliendelea?
Tumeendelea zaidi baada ya kukumbatia zaidi demokrasia au tulivyokuwa kipindi hicho?
Huwezi kumkuta mtu ambaye amekimbia North Korea anakwambia mfumo wa kidikteta ni mzuri
Wewe unaleta hizi hoja zako hapa kwa sababu you are priviledged individual ambaye hujawahi kuishi kwenye udikteta.
Again huu uzi ni wa kipuuzi mno
Umasikini wa wapi unahusiana au umesababishwa na demokrasia?Umasikini wa Tanzania hauna mahusiano ya udikteta wala demokrasia ni masikini kwa sababu imejaza watu wa wajinga wajinga kama tu ilivyo nchi nyingi za Afrika.
Wanakuwa badala ya wabunge ??! Au. ?Umeletwa mada nzuri sana kama unaishi katika mawazo yangu.
Asante sana kwa hoja nzuri zenye nguvu na mifano halisi kiasi kwamba kila mwenye akili ameelewa matatizo ya hili balaa linaloitwa demokrasia tulilowekewa na mabeberu toka ulaya.
Shida ni namna gani tunaweza kubadili mfumo huu muovu ambao unazidi kuzoeleka pamoja na kwamba ni mgumu kutekelezeka na kurudi kwenye utawala wetu wa asili
(utawala wa watemi na machifu )!
Taja tuone, na katika hizo utakazozitaja weka na nchi za kiafrika ambazo zinayo demokrasia na zina maendeleo! Na tangu lini nchi ya kifalme ikawa na demokrasia ?!Usichanganye kutawaliwa kifalme na kukosa demokrasia
Pia Ungeendelea kuzitaja mkuu hizo nchi, NK ndo nini?
Uko tayari na mimi nikutajie nchi ambazo zina democracy ya kutosha na zina maendeleo makubwa kuliko hizo nchi ulizozitaja?
Wapi sehemu gani ?Umasikini wa wapi unahusiana au umesababishwa na demokrasia?
Na huo ndio ukweli !Mleta uzi ana akili na uelewa mzuri kuliko wewe unaefikiri kwa kutumia mavi ya wazungu ulijaza kichwani mwako! Mleta mada ametoa mifano ya nchi kama china nk ambazo hazina demokrasia lakini zina maendeleo makubwa. Unataka tuwe na upumbavu kama walibya waliomuondoa madarakani dikteta Muamar Gadafi ili wapate demokrasia matokeo yake wamepoteza maendeleo na neema walizokuwa nazo chini ya utawala wa kidikteta.
Demokrasia siyo chakula ambacho mtu hula akashiba kwahiyo jambo la muhimu ni maendeleo kwakuwa demokrasia haina faida yoyote kwa raia wa kawaida ambaye hana tamaa ya uongozi.
Kabisa !Kidole kimoja hakivunji chawa, hapa ili kuendelea ikabidi Afrika karibia nzima iwe na madikteta na sio ilimradi tu madikteta ila madikteta wenye dira ya pamoja
Nani walikuwa madikteta wa USA, Uingereza, Mexico, Italia, Brazil, Canada, Ufaransa na Australia na walileta impact gani kubwa ya maendeleo katika hizo nchi??Sijui ni ujinga gani unaotaka kuhararisha kuhusu Tanzania.
Countries: Argentina, Australia, Brazil, Canada, China, France, Germany, India, Indonesia, Italy, Japan, Mexico, Russia, Saudi Arabia, South Africa, South Korea, Turkey, the United Kingdom, and the United States
Nchi kariba zote hapa zina historia mbaya ya udikteta na impact yake katika maendeleo yao.
Una uhakika??Utawala wa makaburu south afrika haukuwahi kuwa wakidekteta marais wote walichaguliwa kimedokrasia
Utawala wa makuburu ulikuwa tu unawatesa waafrika ila haukuwah kuwa wakidikteta
Nchi zipi ambazo umasikini wake umesababishwa na demokrasia??Wapi sehemu gani ?
Hizo nchi kwa asilimia kubwa zimeneemeka na matokeo ya ukoloni na utumwa.Nani walikuwa madikteta wa USA, Uingereza, Mexico, Italia, Brazil, Canada, Ufaransa na Australia na walileta impact gani kubwa ya maendeleo katika hizo nchi??
Hilo mimi sifahamu.Nchi zipi ambazo umasikini wake umesababishwa na demokrasia??
Maendeleo yatakuja kutokana na maono na usimamizi wa huyo Dikteta !Zikitajwa ni nchi za kidekteta kama hazina udikteta zinakuwa zimeondoka kwenye matatizo??
Dikiteta wa Uingereza, Australia na Canada ni nani??Taja tuone, na katika hizo utakazozitaja weka na nchi za kiafrika ambazo zinayo demokrasia na zina maendeleo! Na tangu lini nchi ya kifalme ikawa na demokrasia ?!
Mleta uzi ana akili na uelewa mzuri kuliko wewe unaefikiri kwa kutumia mavi ya wazungu ulijaza kichwani mwako! Mleta mada ametoa mifano ya nchi kama china nk ambazo hazina demokrasia lakini zina maendeleo makubwa. Unataka tuwe na upumbavu kama walibya waliomuondoa madarakani dikteta Muamar Gadafi ili wapate demokrasia matokeo yake wamepoteza maendeleo na neema walizokuwa nazo chini ya utawala wa kidikteta.
Demokrasia siyo chakula ambacho mtu hula akashiba kwahiyo jambo la muhimu ni maendeleo kwakuwa demokrasia haina faida yoyote kwa raia wa kawaida ambaye hana tamaa ya uongozi.
Mwambie mleta uzi akufahamisheHilo mimi sifahamu.
Taja tuone, na katika hizo utakazozitaja weka na nchi za kiafrika ambazo zinayo demokrasia na zina maendeleo! Na tangu lini nchi ya kifalme ikawa na demokrasia ?!
Botswana.Taja tuone, na katika hizo utakazozitaja weka na nchi za kiafrika ambazo zinayo demokrasia na zina maendeleo! Na tangu lini nchi ya kifalme ikawa na demokrasia ?!
Watu wanaiba mali za Umma wanafanya kila aina ya Ubadhirifu lakini wakipelekwa Mahakamani eti kwa sababu ya Demokrasia na Utawala wa Sheria wanashinda kesi kwa kutumia mali hizo hizo walizozikwapua. !Umasikini wa wapi unahusiana au umesababishwa na demokrasia?