Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #121
Moja ya tatizo la demokrasia ni kudhani kuwa maamuzi ya wengi ndiyo maamuzi ya akili. Sakata la Brexit limetuonyesha kinyume chake. So hata kama Walibya wengi wangetaka kweli kumtoa Ghadaffi haimaanishi wako sahihi sababu ni wengi.Sasa umepaniki nini na wewe em relax. Ka jinga
Huu ni mjadala tu mkuu, tunabadilishana mawazo
Libya ni mfano mzuri sana. Wewe unahisi wale wa Libya walikuwa wajinga?
Yaani you think kwamba wewe ni smart sana kuliko wale Walibya ambao waliingia mtaani kumtoa Gadaffi mwenyewe na ku-risk maisha yao kupigwa na mabomu?
Unadhani hao Wa libya walikuwa hawaoni maendeleo aliyoleta huyo Gadaffi? Ila wewe mtanzania ambaye unaishi Nangurukuru huko ndo unajifanya unaelewa saaaaana?
Kuna mambo mengi hujui kuhusu watu na vitu wanavyovitaka kwenye maisha yao so kama hujui shut the helll up
Yaaani usomeshe watu hadi chuo bure alafu utake kuwatawala kama watoto wako?