Unapotsha kwa tafiti zilizopo hapa Africa, zinaonyesha nchi zenye performance nzuri kwenye viashiria 11 vya demokarsia basi vina uchumi imara kuliko nchi zinazoperform vibaya kwenye hiyo democracy index.Afrika hakuna nchi ya kidemokrasia ambayo tunasema ina nafuu kimaendeleo kiasi cha nchi nyingine kutamani hali yao ya maendeleo na usalama.
Hapana demokrasia sio uchaguzi tu, kuna uhuru wa habari, mahakama huru, haki za wachache, uwajibikaji wa serikali, mifumo huru ya bunge n.kDemokrasia kwao ni chaama tawala cha ukombozi (kilichowafurusha) kushindwa uchaguzi.
Hana facts zozote anajiandikia tu😀Unapotsha kwa tafiti zilizopo zinaonyesha nchi zenye performance nzuri kwenye via viashiria 11 vya demokarsia basi vina uchumi imara kuliko nchi zinazoperform vibaya kwenye hiyo democracy index.
Africa’s Democracy is Good for Growth - Sustainable Futures
Does democracy promote economic growth? This question is particularly relevant to sub-Saharan Africa, a region with fast economic growth and democratizationblogs.idos-research.de
Botswana, Namibia, South Africa, Ghana, AAAADemokrasia na haki inaanzia majumbani kwenye ngazi ya famila, inalelewa mashuleni, inakomalia vyuoni na kuanza kutumika Ikulu, taasisi za serikali, mahakamani na bungeni.
a nchi za EU (wenye mbwa).
Heheheheheeeeee!! Author: Nicolas van de WalleUnapotsha kwa tafiti zilizopo hapa Africa, zinaonyesha nchi zenye performance nzuri kwenye viashiria 11 vya demokarsia basi vina uchumi imara kuliko nchi zinazoperform vibaya kwenye hiyo democracy index.
Africa’s Democracy is Good for Growth - Sustainable Futures
Does democracy promote economic growth? This question is particularly relevant to sub-Saharan Africa, a region with fast economic growth and democratizationblogs.idos-research.de
Hizo nchi wanazozitaja ni zile nchi ambazo ama wabeberu wanajichotea na kujizolea rasilimali au zina watu wachache sana.Botswana, Namibia, South Africa, Ghana, AAAA
Zambia, Nigeria, Kenya BBB
Tanzania ingeweza kua AAA lakini tamaa za CCM has baada ya JK
Kama Tanzania hakuna demokrasia basi Afrika hakuna nchi yenye demokrasia hata moja. Demokrsia sio uhuru wa kutukana, kuandamana kila siku au chama tawala kushindwa kwenye uchaguzi. Tanzania tuna demokrasia pana sana, wananchi wetu wako huru kabisa kiuchumi, kiutamaduni na kijamii. Ziko nchi ambazo hakuna uchaguzi lakini kiuchumi ziko juu sana.Hapana demokrasia sio uchaguzi tu, kuna uhuru wa habari, mahakama huru, haki za wachache, uwajibikaji wa serikali, mifumo huru ya bunge n.k
Mfano Afrika kusini bado inaongozwa na chama cha ukombozi ila inasifiwa kwa demokrasia sababu chaguzi zao zipo huru, mahakama zipo huru, minority rights etc
Na kama CCM mnaona demokrasia haifai basi futeni tu vyama vingi kuliko kupoteza fedha na maisha ya watu kisa demokrasia ambayo imewashinda.
Tuje na indicators za democrasia zinazoshajihisha ukuaji wa uchumi, na tuone kama Tanzania zipo au hazipo. Maana sisi wametuambia kuwa tumeingia kwenye uchumi wa kati chini. Je, ni nchi ngapi Sub-sahara ziko kwenye hatua hii ya uchumi ili tuone indicators zao zilizowafikisha huko.Botswana, Namibia, South Africa, Ghana, AAAA
Zambia, Nigeria, Kenya BBB
Tanzania ingeweza kua AAA lakini tamaa za CCM has baada ya JK
Una akili za kipumbavu sana na watu kama nyie ndio mnaturudisha nyuma kimaendeleo, imagine 60 years after independence bado tunakopa kuchimba matundu ya vyoo, washenzi sana CCMKama Tanzania hakuna demokrasia basi Afrika hakuna nchi yenye demokrasia hata moja. Demokrsia sio uhuru wa kutukana, kuandamana kila siku au chama tawala kushindwa kwenye uchaguzi. Tanzania tuna demokrasia pana sana, wananchi wetu wako huru kabisa kiuchumi, kiutamaduni na kijamii. Ziko nchi ambazo hakuna uchaguzi lakini kiuchumi ziko juu sana.
Demokrasia ni njia ya migogoro kwa ving'ang'anizi wa madaraka ndani ya Africa.Demokrasia na haki inaanzia majumbani kwenye ngazi ya famila, inalelewa mashuleni, inakomalia vyuoni na kuanza kutumika Ikulu, taasisi za serikali, mahakamani na bungeni.
Juzi niligombana sana na mke wangu kwasabu alimpiga sana mtoto wetu wa miezi 8 eti kwa mujimu wa yeye alitenda kosa la kumng'ata wakati akinyonya. Jirani yetu alimpiga mkewe kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani, akihoji alichelewa wapi; yaani anahoji uhuru wa mtu wa kutembea na kufanya maamuzi. Huko shuleni ndio usiseme kabisa, na vyuoni ndiyo kabisaa mwalimu ndio kila kitu kwa mwanafunzi. Watu waliolelewa kwa mfumo kandamamizi hawawezi kuikumbatia demokrasia ukubwani wakiwa viongozi au wazazi na wakuu wa familia.
Mabeberu walilijua hili kuwa demokrasia kwa wafrika itawapa nafasi nyingine ya kujiingiza kwenye rasilimali zao moja kwa moja. Demokrasia kwao ni chaama tawala cha ukombozi (kilichowafurusha) kushindwa uchaguzi. Mara nyingi kama sio mara zote atakaekishinda chama cha ukombozi amesaidiwa kushinda na mabeberu kwa maslahi ya mabeberu.
Afrika hakuna nchi ya kidemokrasia ambayo tunasema ina nafuu kimaendeleo kiasi cha nchi nyingine kutamani hali yao ya maendeleo na usalama.
Demokrasia lango kuu la kupenyeza migogoro itakayoishia kwenye manunuzi makubwa ya silaha kutoka kwa mabeberu, kupata misaada yenye masharti yenye maslahi kwa mabeberu wakati na baada ya kushinda na kuikamata Ikulu.
Ukimsikia kiongozi wa upinzani akisema yuko tayari kufa kwa kuitetea demokrasia na haki Afrika ujue tayari ni mtoto wa watu wa Magharibi. mchunguze sana utagundua mawasiliano mengi na mawakala wa serikali za kibeberu. Mfano, kama Lissu angekuwa huru wakati wa uchaguzi huenda machafuko yangekuwa makubwa sana. Na ukitaka kumkamata angekimbilia ubalozi wa nchi za EU (wenye mbwa).
Mnaiba uchaguzi nchi nzima,mnabambikia watu kesi fake,mnateka na kuua watu halafu mnasingizia mabeberu, mtakuwa wagonjwa wa akili nyie, hamna tofauti na sumulicha ya hivyo Africa inaingiliwa sana na mataifa makubwa kuhakikisha hakuna utulivu!, bado kuna vita ambayo sisi wenyewe tumeridhika na hatuipigani!..
ukija ukakaa chini ukafikiria swala sio demokrasia tu kuna vitu vingi sana vinachangia kuanzia uwajibikaji,elimu, malengo, uzalendo n.k tunaweza tukawa na utawala wa kichifu ama kifalme na mambo yakawa hivyohivyo
Watu kama nyinyi ndio huwa mnarudisha mijadala nyuma!, hii mada sio yakumsontea mtu kidole ni inahusu mfumo wa demokrasia barani Africa. ila wewe kichwa zuzu ushaenda kulisha mtu maneno hujui hata nipo mlengo gani...Mnaiba uchaguzi nchi nzima,mnabambikia watu kesi fake,mnateka na kuua watu halafu mnasingizia mabeberu, mtakuwa wagonjwa wa akili nyie, hamna tofauti na sumu
1. Unapataje viongozi wako?Kama Tanzania hakuna demokrasia basi Afrika hakuna nchi yenye demokrasia hata moja. Demokrsia sio uhuru wa kutukana, kuandamana kila siku au chama tawala kushindwa kwenye uchaguzi. Tanzania tuna demokrasia pana sana, wananchi wetu wako huru kabisa kiuchumi, kiutamaduni na kijamii. Ziko nchi ambazo hakuna uchaguzi lakini kiuchumi ziko juu sana.
You are weak huwezi kuchanganya weakness na maedeleo ya binadamu wanojijua. Waafrika ni weak, kifikra au hata kimwili.Kama Tanzania hakuna demokrasia basi Afrika hakuna nchi yenye demokrasia hata moja. Demokrsia sio uhuru wa kutukana, kuandamana kila siku au chama tawala kushindwa kwenye uchaguzi. Tanzania tuna demokrasia pana sana, wananchi wetu wako huru kabisa kiuchumi, kiutamaduni na kijamii. Ziko nchi ambazo hakuna uchaguzi lakini kiuchumi ziko juu sana.