Demokrasia ni lango kuu la migogoro Afrika, hakuna nchi imenufaika

Sahihi kabisa..
 
Bila kupenyeza demokrasia ingekuwa ngumu sana kuzinyonya nchi za kiafrika.
Kuna watanzania wenzetu wakiungana na baadhi ya wakenya wanawalaumu watz eti ni makondoo, wapole mno kwanini sisi hatupigani, hatugomi na kuchoma vitu vya serikali kudai demokrasia. Unawashangaa halafu unaishia kusonya tu. Hivi Kenya demokrasia inawasaidia nini hasa wakati mifugo na watu wanakufa kwa kiu na chakula, wanaikimbia nchi yao kwenda kuwa manamba kokote kule duniani hata iwe Ukraine au Mongolia, wauaji ya kiholela yako palepale kama kule shakahola, ardhi yao imekaliwa na mabeberu meupe na meusi, ajira hakuna, viongozi wanakwima mali ya uma mpaka basi na madeni ya nchi yako juu mno mno. Sasa unajiuliza mara mbilimbili huo uzembe wetu uko wapi?

Lema anatamani Simba na Yanga ziache mpira zijiunge chadema washiriki kuandamana kuwapeleka Ikulu. Over my dead b!!!
 
Una akili za kipumbavu sana na watu kama nyie ndio mnaturudisha nyuma kimaendeleo, imagine 60 years after independence bado tunakopa kuchimba matundu ya vyoo, washenzi sana CCM
Wewe ndiye mpumbavu, ni maendeleo gani wewe unayataka. Tumia amani, utulivu, umeme, barabara, reli ya kawaida, reli ya umeme, bahari, mito, maziwa na ardhi kubwa iliyopo kufanya maendeleo yako na kulipa kodi ili wewe na nchi viendelee kwa pamoja. Wenzako wanauza parachichi, korosho, mwani, vanila, mbuzi, ng'ombe, madini Tanzania, Afrika, Asia, ulaya na marekani wewe unapiga porojo. Inama wakuonyeshe njia.
 
Namna ya kumpata kiongozi wako sio hoja ya maana sana kwenye ustawi wa taifa. Marekni iko juu kiuchumi ingawa walilalamika kuwa uchaguzi ulikuwa na udanganyifu (rigged), kura ziliibwa kwa msaada wa Urusi. Kinachotakiwa ni kiongozi aliyeko Ikulu anafanya nini kufungua fursa kwa wananchi, kudumisha amani na utulivu kwa mujibu wa katiba yao. Ziko nchi kuna masulutani tu hakuna uchaguzi lakini mambo yao safi kabisa.
 
Ile wewe jamaa ni mbunifu sana wa uongo halafu umekubuhu! Wakenya wengi walio diaspora hawana huo ushawishi ila tu wanajua sisi tupo inferior katika nyanja nyingi sana, hasa education na hii inadhihirika ukiwa diaspora.

Kwani wewe hujui? Weakness yetu ya kudanganyana ati adui ni mkenya wakati adui tunaye hapa hapa.

Hii nchi itachukua muda mrefu sana kuelimka, kutokana na mindset iliyojengwa hasa baada ya uhuru
 
Una akili za kijima sana
 
Haya tuseme TAL amekuwa Rais wetu Tanzania atafanya nini ili tuchimbe madini yetu sisi wenyewe, masoko huru ya madini na mazao atayapata wapi, aajira kwa vijana wote atazitoa wapi, barabara, maji kwa kila mtanzania atasambazaje, majeshi yetu na watumishi wa umma atawalipaje. Ni upuuzi tu tunapakazana hapa Afrika.
 
Wewe hujui kitu nyamaza aloo. Kenya bado ni koloni la Uingereza na wazungu wa Magharibi. Ni sehemu ambayo tangu ukoloni maoka mpaka leo ambayo wanapata malighafi kwa viwanda vyao ulaya, manamba (cheap labour) na masoko kwa bidhaa zao. Elimu ya wakenya inawaandaa vijana wao kwenda kufanyakazi (chip labour) ndani na ulaya, ndiyo maana mkazo uko kwenye lugha ya malkia zaidi, na mitaala inayofanana na ile ya masters wao. Yaani wakenya wenye akili nyingi hawako nchini kwao, wako nulaya na marekani kama cheap labors. Kiingereza kiiiingi ndiyo tiketi yao ya kwenda kuzibua mitaro kwenye sector ya nyumba na makazi (real estate) na hospitality.

Tanzania hawajui kiingereza kabisaa, hivyo watu wao wengi wenye akili na vipaji wako humuhumu tz wanalijenga taifa lao. Watu kama Diamond, Ali Kiba, Harmonize wangekuwa Kenya au Nigeria wangekuwa wako Ulaya au Marekani. Ndiyo maana hata sekta yetu ya tiba, mpira iko juu sana kuliko Kenya kwakuwa wenye ubongo safi wote wako hapahapa nchini.
 
Hivi wewe unaota ndoto au unajijua? Unalinganisha Nairobi na Dar? Wapi kuna makao ya multinationals zaidi Dar au Nairobi? Hata Embassies, wewe lazima huna exposure ya mambo ya ulimwengu.

Mji hauna maji wala umeme wa kutosha unalinganisha na Nairobi? Experts wengi wa kimataifa huchagua kuishi Kenya siyo Tanzania. Cha kwanza lugha na pili infrastructure na huduma

Kweli hujijui
 
Misri ina demokrasia gani, Morocco?.. Ethiopia hai-perform,ina demokrasia?
 
Hiyo inatokana na cold war,siyo ubora wa Nairobi dhidi ya dar, Nairobi mji unatoka mnara wa saa hadi mwembechai umeisha,kulikobaki slums
 
Misri ina demokrasia gani, Morocco?.. Ethiopia hai-perform,ina demokrasia?
Research haziendi hivyo, huwezi chukua kanchi kamoja ukafanya conclusion ila njia sahihi ni kuchukua nchi zote alafu unafanya panel data regression ya Democracy index na dependent variable unaweka GDP per capita whether nominal, real, PPP etc.

Hapo ndio unapata picha nzima. Ila hapa unachofanya tunaita "outliers" ama "skewing"!!
 
Hizo ppp ziko subjected to population,siyo real,hapa afrika hakuna sehemu maisha mazuri kuzidi kaskazini,na huko kaskazini demokrasia ni zero,Ghana inaizidi nini kimaisha Tanzania?.. Namibia barabara tupu watu hakuna
 

Elimu yako ni ndogo sana. South Africa ni demokrasia , Botswana, Namibia , zambia, Malawi na Kenya ni demokrasia. Huwezi kulinganisha na Tanzania ambayo ni janga la taifa. Unashinda kujidanganya ndugu zenu wanaotuma pesa wapo Ulaya , Canada, Japan na sehemu zenye demokrasia mnabaki kujidanganya. Nenda Sudan, Misri, Libya na Tanzania sehemu ambazo hazina demokrasia uone vita , utekaji, wizi wa kura, ufisadi wa hali ya juu. Ukiangalia nchi zenye demokrasia kwa kipato cha mtu mmoja mmoja wametuzidi sana
 

Ukweli mtupu
 
Hizo ppp ziko subjected to population,siyo real,hapa afrika hakuna sehemu maisha mazuri kuzidi kaskazini,na huko kaskazini demokrasia ni zero,Ghana inaizidi nini kimaisha Tanzania?.. Namibia barabara tupu watu hakuna
Sasa huoni nchi ndogo automatically inakua na GDP ndogo hivyo ili upate urari ndio unachukua Per capita au Human development index ya mtu mmoja mmoja sio general population.

Namibia hakuna watu sababu 90% ni jangwa na wajerumani walipunguza zaidi ya 50% ya population ya wanamibia kipindi cha ukoloni!!

Kingine North Africa hakuna demokrasia kwa maana ipi? Demokrasia ina indicator 11 at least na hiyo ya uchaguzi huru ni moja tu!! so mtu anaweza perform vibaya kwenye moja ila akawa na performance nzuri kwenye indicator zingine kama mahakama kuwa huru n.k
 
Algeria, Morocco, Tunisia,misri kuna demokrasia?..unamjua vizuri qais wa Tunisia na huyo mjeda wa Egypt?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…