Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Tunajadili concept ya demokrasia. Usilete uchawa.Kuna watanzania wenzetu wakiungana na baadhi ya wakenya wanawalaumu watz eti ni makondoo, wapole mno kwanini sisi hatupigani, hatugomi na kuchoma vitu vya serikali kudai demokrasia. Unawashangaa halafu unaishia kusonya tu. Hivi Kenya demokrasia inawasaidia nini hasa wakati mifugo na watu wanakufa kwa kiu na chakula, wanaikimbia nchi yao kwenda kuwa manamba kokote kule duniani hata iwe Ukraine au Mongolia, wauaji ya kiholela yako palepale kama kule shakahola, ardhi yao imekaliwa na mabeberu meupe na meusi, ajira hakuna, viongozi wanakwima mali ya uma mpaka basi na madeni ya nchi yako juu mno mno. Sasa unajiuliza mara mbilimbili huo uzembe wetu uko wapi?
Lema anatamani Simba na Yanga ziache mpira zijiunge chadema washiriki kuandamana kuwapeleka Ikulu. Over my dead b!!!
Al Makhtoum - UAENamna ya kumpata kiongozi wako sio hoja ya maana sana kwenye ustawi wa taifa. Marekni iko juu kiuchumi ingawa walilalamika kuwa uchaguzi ulikuwa na udanganyifu (rigged), kura ziliibwa kwa msaada wa Urusi. Kinachotakiwa ni kiongozi aliyeko Ikulu anafanya nini kufungua fursa kwa wananchi, kudumisha amani na utulivu kwa mujibu wa katiba yao. Ziko nchi kuna masulutani tu hakuna uchaguzi lakini mambo yao safi kabisa.
Tatizo una elimu ndogo sana, kwahiyo ukiambiwa Malaria inaongoza kuua watu kila mwaka basi unanyoosha kidole tu na kusema "mbona mimi nimeugua malaria na sijafa?".Algeria, Morocco, Tunisia,misri kuna demokrasia?..unamjua vizuri qais wa Tunisia na huyo mjeda wa Egypt?
Umekimbilia kwenye fedheha na dharau sasa,taja hizo nchi afrika zenye demokrasia na maendeleo halafu taja zisizo na demokrasia na hazina maendeleoTatizo una elimu ndogo sana, kwahiyo ukiambiwa Malaria inaongoza kuua watu kila mwaka basi unanyoosha kidole tu na kusema "mbona mimi nimeugua malaria na sijafa?".
Empty set kabisa, yaani CCM ina watetezi ambao hamjui hata basics za uchumi!!
Nimeweka huko juu tafiti si usome au lugha changamoto? Rudi kwenye original comment uliyoniquote usome hiyo tafiti mbona kila kitu kipo wazi.Umekimbilia kwenye fedheha na dharau sasa,taja hizo nchi afrika zenye demokrasia na maendeleo halafu taja zisizo na demokrasia na hazina maendeleo
Umoja-utafitiNimeweka huko juu tafiti si usome au lugha changamoto? Rudi kwenye original comment uliyoniquote usome hiyo tafiti mbona kila kitu kipo wazi.
Nimeweka studies mbili so nipo sahihi ni tafiti!!Umoja-utafiti
Wingi-tafiti
Umesoma hadi level gani? Hakuna utafiti utafanya bila control variables. Of course kuna tofauti ya resources, FDIs, population, inflation etc na zote hizo huwa controlled. Na hizo tafiti nimeweka zimeweka hizo control variables.Namibia, Botswana, kenya, Ghana hazina high living standard kuzidi nchi za kaskazini ambazo demokrasia ni duni
Sawa, najua unajifunza kwa kubishana, Unabisha huku unauliza indirectly.Hivi wewe unaota ndoto au unajijua? Unalinganisha Nairobi na Dar? Wapi kuna makao ya multinationals zaidi Dar au Nairobi? Hata Embassies, wewe lazima huna exposure ya mambo ya ulimwengu.
Mji hauna maji wala umeme wa kutosha unalinganisha na Nairobi? Experts wengi wa kimataifa huchagua kuishi Kenya siyo Tanzania. Cha kwanza lugha na pili infrastructure na huduma
Kweli hujijui
Demokrasia inaanzia majumbani mwenu, sio Ikulu. Maana hata Rais na mawaziri wake wote wanatoka majumbani mwenu humohumo. Yaani umemlazimisha mkeo kuvaa juba jeusi na kujifunika uso gubigubi halafu huko mitaani unahubiri demokrasia, upuuzi mtupu. Umemchoma mikono mwanao kwa kuiba 2000 halafu huko mitaani udai haki. Umeitelekeza familia yako huko migombani kijijini wewe uko mjini halafu huko mitaani unadai demokrasia na haki. Watu wa jimbo lako wamekuchagua wewe kuwa mbunge wao uwasemee shida na raha zao jimboni halafu wewe unageuka kuwa mbunge wa Tanzania yote na kulisahau jimbo lako, ni upuuzi mtupu kudai demokrasia na haki wakati wewe hutendi demokrasia wala haki kwa mkeo, watoto, ndugu zako na watu wa kwenu/jimbo.Demokrasia ni mfumo unao onyesha uwezo wako wa kustaarabika, kama huja staarabika huwezi kuona umuhimu wa demokrasia.
Ukiona hata wachezaji kutoka nchi kama Ghana, Senegal, Ivory Coast, Ghana, SA, Kenya, Uganda, nk wanapatikana Tanzania kwa wingi ujue Tanzania hali yake imeboreka kiuchumi. Nchi za Magharibi na Marekani ni tajiri sio kwasababu ya demokrasia, bali kwasababu zinapora na kuiba mali za wengine kwa njia mbalimbali zikiwemo za kijeshi, mitaji, masoko na cheap labour. Nchi zao zimejengwa kwa watumwa na mali zilizohamishwa kutoka nchi nyingine. Mpaka leo hii wanakupangia bei watakayonunua pamba yako na kukupangia pia bei watakayokuuzia trekta lao (double swords). Wakati huohuo wanapata manamba (cheap labours) kutoka kwenu na kuwatumia nyie kama soko la bidhaa zao zote bila masharti lakini wewe unapeleka bidhaa zako kwao kwa mashariti mengiii. Demokrasia haina uhusiano kabisa na maendele. Kule Rwanda tunawasifu wanaendelea lakini hakuna demokrasia hii ya magharibi.Hizo ppp ziko subjected to population,siyo real,hapa afrika hakuna sehemu maisha mazuri kuzidi kaskazini,na huko kaskazini demokrasia ni zero,Ghana inaizidi nini kimaisha Tanzania?.. Namibia barabara tupu watu hakuna
Tafiti hizo ni batili kwakuwa kuna confounders nyingi ambazo hazikuzingatiwa katika hizo tafiti. Katika nchi zenye wafalme na masulutani hakuna hata uchaguzi huko. Ni lini ulisikia uchaguzi huko Saudi Arabia, Dubai, Qatar?.Nimeweka studies mbili so nipo sahihi ni tafiti!!
Umesoma hadi level gani? Hakuna utafiti utafanya bila control variables. Of course kuna tofauti ya resources, FDIs, population, inflation etc na zote hizo huwa controlled. Na hizo tafiti nimeweka zimeweka hizo control variables.
So njoo na tafiti zingine zenye methodology tofauti ufanye ulinganisho sio maneno matupu