Mati Mkenda
Senior Member
- Mar 4, 2018
- 171
- 211
Lakini sio kushindwa ya bao la mkono na kwa kuwauawa wapinzani. Au hata kwa serikali kutumia mabilioni ya walipa kodi kuwanunua wapinzani. Au kwa serikali kutumia Jeshi la Polisi kuwazuia wapinzani wasifanye kampeni.Kuna wakati wakati kampeni za haki sawa kati ya Mwanamme na Mwanamke zilipoanza, wanawake wengi walizichukua katika muktadha tofauti kabisa na kile kilicholengwa. Walidhani kuwa huo ndo ulikuwa muda muafaka wa kufanya kila kitu ambacho wanaume walikuwa wakifanya hata kama kilikuwa kibaya. Kama Baba alichelewa kurudi nyumbani, Mama naye alitaka achelewe kurudi nyumbani eti kwa sababu ni haki sawa. Ukweli ni kuwa hawakujua wanataka nini hasa katika hizo haki sawa.
Katika uringo wa siasa nao hakuna tofauti. Mara nyingi tumeshuhudia vyama vya upinzani vikionesha kuwa haki imetendeka pale tu ambapo uamuzi au matokeo fulani yanakuwa in their favor. Hapo ndipo wao wanaona kuna haki au demokrasia ya kweli.
Kwa mfano hivi karibuni wapinzani wameitumia sana nchi ya Malawi kama ndiyo nchi ya kuigwa in terms of democracy mara baada ya Dr. Lazarus Chakwera kutoka chama cha MCP kuchaguliwa kama Rais. Wameona kuwa hiyo nchi ndiyo yenye demokrasia eti kwa sababu upinzani wameshinda.
Hapa najiuliza. Hivi inakuwaje upinzani wao waone kuwa haki au demokrasia ipo pale tu wanapofaidika wao? Je, kukubali kushindwa nako hakuwezi kuwa ni sehemu ya demokrasia wanayoitaka? Je, wanajua nini hasa wanakitaka kama sehemu ya demokrasia wanayoililia?
Wahenga walisema, “Asiyekubali kushindwa, si mshindani”. Kauli hii ya Wahenga kwa kiasi kikubwa inabeba maudhui ya maana neno Demokrasia. Vyama vya upinzani mjifunze kuwa kushindwa kwenu ni sehemu ya demokrasia hiyo hiyo, maana washindani wenu nao wanashukuru kama ambavyo mngefanya nyie iwapo mngeshinda.Hivyo, kushindwa nako ni sehemu ya demokrasia mnayoitaka.
Demokrasia ni Magu kuchukua fomu peke yake?Kuna wakati wakati kampeni za haki sawa kati ya Mwanamme na Mwanamke zilipoanza, wanawake wengi walizichukua katika muktadha tofauti kabisa na kile kilicholengwa. Walidhani kuwa huo ndo ulikuwa muda muafaka wa kufanya kila kitu ambacho wanaume walikuwa wakifanya hata kama kilikuwa kibaya. Kama Baba alichelewa kurudi nyumbani, Mama naye alitaka achelewe kurudi nyumbani eti kwa sababu ni haki sawa. Ukweli ni kuwa hawakujua wanataka nini hasa katika hizo haki sawa.
Katika uringo wa siasa nao hakuna tofauti. Mara nyingi tumeshuhudia vyama vya upinzani vikionesha kuwa haki imetendeka pale tu ambapo uamuzi au matokeo fulani yanakuwa in their favor. Hapo ndipo wao wanaona kuna haki au demokrasia ya kweli.
Kwa mfano hivi karibuni wapinzani wameitumia sana nchi ya Malawi kama ndiyo nchi ya kuigwa in terms of democracy mara baada ya Dr. Lazarus Chakwera kutoka chama cha MCP kuchaguliwa kama Rais. Wameona kuwa hiyo nchi ndiyo yenye demokrasia eti kwa sababu upinzani wameshinda.
Hapa najiuliza. Hivi inakuwaje upinzani wao waone kuwa haki au demokrasia ipo pale tu wanapofaidika wao? Je, kukubali kushindwa nako hakuwezi kuwa ni sehemu ya demokrasia wanayoitaka? Je, wanajua nini hasa wanakitaka kama sehemu ya demokrasia wanayoililia?
Wahenga walisema, “Asiyekubali kushindwa, si mshindani”. Kauli hii ya Wahenga kwa kiasi kikubwa inabeba maudhui ya maana neno Demokrasia. Vyama vya upinzani mjifunze kuwa kushindwa kwenu ni sehemu ya demokrasia hiyo hiyo, maana washindani wenu nao wanashukuru kama ambavyo mngefanya nyie iwapo mngeshinda.Hivyo, kushindwa nako ni sehemu ya demokrasia mnayoitaka.
Jaduong hili la vyombo vya dola huwa mnawasingizia Ccm. Hakuna mwananchi anayeshikiwa bunduki katika kibanda cha kupigia kura.Hebu jiulize swali lako kinyume chake. Je democracy ni Ccm kufaidika na vyombo hivyo vya dola na vya maamuzi ?!. Usawa wa kushiriki uchaguzi uko wapi ?!.
Wakati mwingine usikubali kutokutumia akili
Kaka , labda mahaba yanakupofusha wala siwezi kukulaumu . Kwa sababu mnafaidika na mfumo huu kandamizi kwa washindani wenu.Jaduong hili la vyombo vya dola huwa mnawasingizia Ccm. Hakuna mwananchi anayeshikiwa bunduki katika kibanda cha kupigia kura.
Usawa wa kushiriki uchaguzi hapa Tanzania upo kwa mujibu wa sheria na katiba ya JMT. Ndio maana kila chama kinakuwa na wawakilishi kuanzia kupiga kura mpaka kuhesabu. Matokeo huwa yanabandikwa kila kituo. Sasa wananchi wanapokichagua Ccm ni sababu wanakikubali.
Mpaka mwenyekiti wa tume anatangaza si lazima ajilizishe kuwa taratibu zote zilifuatwa? Kama kuna matokeo yanapishana na yale anayotangaza wapinzani wanatakiwa kutoa ushahidi.Kaka , labda mahaba yanakupofusha wala siwezi kukulaumu . Kwa sababu mnafaidika na mfumo huu kandamizi kwa washindani wenu.
Pili unaweza kujiuliza ni kwanini Ccm ilivuruga katiba mpya iliyokuwa inaruhusu TUME HURU YA UCHAGUZI ?! Hatua ilitakiwa kupigiwa kura ya maoni tu.
Ujue chaguzi hizi za Africa zimejaa hila eg Malawi kabla , Ivory coast wakati wa Gbagbo, Gambia wakati wa Jahme, Kenya wakati wa Kibaki kurudi nyuma nk nk. Sasa afadhali kwingine huko zipo mahakama za katiba zenye meno. Hapa unaambiwa mwenyekiti wa tume akishatangaza tu , basi final !!!
Tanzania haiko Ulaya hata America , bali ipo Africa kuliko na taratibu mbaya za kisiasa na kimaisha . Huko kote waliong'ang'ania kubaki madarakani hata baada ya kushindwa, sababu zao hazina tofauti na zinazotolewa leo na Ccm inaposhindwa mahala.Mpaka mwenyekiti wa tume anatangaza si lazima ajilizishe kuwa taratibu zote zilifuatwa? Kama kuna matokeo yanapishana na yale anayotangaza wapinzani wanatakiwa kutoa ushahidi.
Ccm haikuvuruga mchakato wa katiba mpya wapinzani ndio waliovuruga. Na mtu kusema ukweli sio kwamba ni mnufaika.
Usilinganishe Tanzania na nchi iliyokuwa Gambia. Pia Malawi kama aliyekuwepo madarakani hatelelezi wanachotaka wananchi unategemea nini?
Demokrasia ina mambo mengi sana mkuu. Lakini baadhi ya msingi ni haya hapa (kwa mujibu wangu kama mpiga kura):-Kuna wakati wakati kampeni za haki sawa kati ya Mwanamme na Mwanamke zilipoanza, wanawake wengi walizichukua katika muktadha tofauti kabisa na kile kilicholengwa. Walidhani kuwa huo ndo ulikuwa muda muafaka wa kufanya kila kitu ambacho wanaume walikuwa wakifanya hata kama kilikuwa kibaya. Kama Baba alichelewa kurudi nyumbani, Mama naye alitaka achelewe kurudi nyumbani eti kwa sababu ni haki sawa. Ukweli ni kuwa hawakujua wanataka nini hasa katika hizo haki sawa.
Katika uringo wa siasa nao hakuna tofauti. Mara nyingi tumeshuhudia vyama vya upinzani vikionesha kuwa haki imetendeka pale tu ambapo uamuzi au matokeo fulani yanakuwa in their favor. Hapo ndipo wao wanaona kuna haki au demokrasia ya kweli.
Kwa mfano hivi karibuni wapinzani wameitumia sana nchi ya Malawi kama ndiyo nchi ya kuigwa in terms of democracy mara baada ya Dr. Lazarus Chakwera kutoka chama cha MCP kuchaguliwa kama Rais. Wameona kuwa hiyo nchi ndiyo yenye demokrasia eti kwa sababu upinzani wameshinda.
Hapa najiuliza. Hivi inakuwaje upinzani wao waone kuwa haki au demokrasia ipo pale tu wanapofaidika wao? Je, kukubali kushindwa nako hakuwezi kuwa ni sehemu ya demokrasia wanayoitaka? Je, wanajua nini hasa wanakitaka kama sehemu ya demokrasia wanayoililia?
Wahenga walisema, “Asiyekubali kushindwa, si mshindani”. Kauli hii ya Wahenga kwa kiasi kikubwa inabeba maudhui ya maana neno Demokrasia. Vyama vya upinzani mjifunze kuwa kushindwa kwenu ni sehemu ya demokrasia hiyo hiyo, maana washindani wenu nao wanashukuru kama ambavyo mngefanya nyie iwapo mngeshinda.Hivyo, kushindwa nako ni sehemu ya demokrasia mnayoitaka.
Kama Maalim alijitangaza mshindi wakati hana mamlaka ulitarajia nini? Mgombea wa ukawa si alikuwa na wawakilishi ngazi ya taifa kwa nini wasilalamikena kujaza fomu za malalamiko?Tanzania haiko Ulaya hata America , bali ipo Africa kuliko na taratibu mbaya za kisiasa na kimaisha . Huko kote waliong'ang'ania kubaki madarakani hata baada ya kushindwa, sababu zao hazina tofauti na zinazotolewa leo na Ccm inaposhindwa mahala.
Kama unazo kumbukumbu 2015 hata mgombea wa ukawa, alipotaka kupereka malalamiko yake tume, kuonyesha evidence za kuvurugwa uchaguzi . Lubuva aligoma kukutana naye kusikiliza malalamiko yake. Na sheria zinasema akishatangaza hakuna tena malalamiko wala mahakama ya kuhoji !!!
Zanzibar kukawa na sababu za kipuuzi kabisa kufuta uchaguzi . Na mfuta uchaguzi leo anawania ugombea kupitia Ccm .Daahh
Ni maoni yako. Lakini ukweli ni kuwa unawezaje kumwambia MTU akubali kushindwa kwenye mazingira yaliyojaa utata? Kilichosababisha uchaguzi ufutwe Zanzibar 2015 ni nini? Je! Ukikusanya fomu za matokeo ya kila kituo huwezi kujua kama umeshinda au umeshindwa? Matokeo yanapotangazwa huku mabomu ya machozi yakirindima inakupa tafsiri gani? Waswahili husema "Dalili ya mvua ni mawingu"Kuna wakati wakati kampeni za haki sawa kati ya Mwanamme na Mwanamke zilipoanza, wanawake wengi walizichukua katika muktadha tofauti kabisa na kile kilicholengwa. Walidhani kuwa huo ndo ulikuwa muda muafaka wa kufanya kila kitu ambacho wanaume walikuwa wakifanya hata kama kilikuwa kibaya. Kama Baba alichelewa kurudi nyumbani, Mama naye alitaka achelewe kurudi nyumbani eti kwa sababu ni haki sawa. Ukweli ni kuwa hawakujua wanataka nini hasa katika hizo haki sawa.