Demokrasia ni vyama vya Upinzani tu kushinda?

Mtu anajitangazaje wakati kuwa Tume yenye mamlaka? Mabomu hurindima pale ambapo amani inaonekana kuhatarishwa, afterall hayachagui wa kumwathiri, awe CCM au upinzani ataathirika as long as yupo kwenye eneo la tukio.
 
Zote hizo ni porojo tu. Ukishatoa taarifa ya matokeo kwa kila kituo na mtu akaweza kupata matokeo ya vituo vyote maana yake ni kuwa matokeo yako wazi. Anachofanya msimamizi ni kuthibitisha mjumuisho wa matokeo yote. Aseme asiseme mambo yako hadharani. Maelezo mengine yote yamejaa hila.
 
Kwahiyo rafu za Jecha 2015 tukubali tu na kuchekelea kuwa ndio demokrasia?
 
Sasa itakuwaje ni demokrasia wakati CDM haijawahi kushinda kiti cha Urais Tz?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…