Demokrasia ya chama kimoja ni bora kuliko ya vyama vingi

Demokrasia ya chama kimoja ni bora kuliko ya vyama vingi

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Kwa nini tusingekuwa na demokrasia ya chama kimoja ambayo inaonekana ni bora kuliko ya vyama vingi iliyojaa matatizo lukuki?

Chama kiteue wagombea wa urais watatu tuwapigie kura. Hivyo hivyo wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa.

Demokrasia ya chama kimoja haina vurugu nyingi za kuiba kura na ujinga mwingine unaopatikana kwenye demokrasia ya vyama vingi.
 
Kwa nini tusingekuwa na demokrasia ya chama kimoja ambayo inaonekana ni bora kuliko ya vyama vingi iliyojaa matatizo lukuki? Chama kiteue wagombea wa urais watatu tuwapigie kura. Hivyo hivyo wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa. Demokrasia ya chama kimoja haina vurugu nyingi za kuiba kura na ujinga mwingine unaopatikana kwenye demokrasia ya vyama vingi.
Huko tumeshatoka. Hawa wa chama kinachoiba kura wameshapanda mbegu mbaya. Labda vyama vyote vifutwe kianzishwe chama kimoja ndio tuanzie hapo.
 
Kwa nini tusingekuwa na demokrasia ya chama kimoja ambayo inaonekana ni bora kuliko ya vyama vingi iliyojaa matatizo lukuki?

Chama kiteue wagombea wa urais watatu tuwapigie kura. Hivyo hivyo wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa.

Demokrasia ya chama kimoja haina vurugu nyingi za kuiba kura na ujinga mwingine unaopatikana kwenye demokrasia ya vyama vingi.

..hata hicho unachopendekeza ni REFORMS.

..Ni lazima tukae pamoja tujadiliane kitu ambacho CCM hawataki.

..Yaani Mwenyekiti wao ana falsafa ya 4R lakini ukiwaita mezani mfanye Reforms hawataki!!
 
Kwa nini tusingekuwa na demokrasia ya chama kimoja ambayo inaonekana ni bora kuliko ya vyama vingi iliyojaa matatizo lukuki?

Chama kiteue wagombea wa urais watatu tuwapigie kura. Hivyo hivyo wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa.

Demokrasia ya chama kimoja haina vurugu nyingi za kuiba kura na ujinga mwingine unaopatikana kwenye demokrasia ya vyama vingi.
 

Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Huko tumeshatoka. Hawa wa chama kinachoiba kura wameshapanda mbegu mbaya. Labda vyama vyote vifutwe kianzishwe chama kimoja ndio tuanzie hapo.
Ndiyo hapo. Chama cha kitaifa. Chenye Lissu, Mwigilu, Zitto, Mpina, Wassira, Lusinde nk nk.
 
Kwa nini tusingekuwa na demokrasia ya chama kimoja ambayo inaonekana ni bora kuliko ya vyama vingi iliyojaa matatizo lukuki?

Chama kiteue wagombea wa urais watatu tuwapigie kura. Hivyo hivyo wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa.

Demokrasia ya chama kimoja haina vurugu nyingi za kuiba kura na ujinga mwingine unaopatikana kwenye demokrasia ya vyama vingi.

Mfumo mzuri ni wa Utawala wa kijeshi unayotawaliwa na Mwanajeshi wa Cheo cha Captain Maka Kanali

Wale wa kuanzia Brigadia Jenerali wabaki kama Body ya kusimamia Serikali na kuishauri tuu ili kuleta maendeleo Makubwa na ya haraka kwa wananchi na pia kulinda amani na haki sawa kwa wananchi wote .

Lakini huu ujinga wa wanasiasa ni Ufisadi mtupu mpaka Aibu .

Nani alitegemea kuwa Mama yule angekuwa na ufisadi mkubwa ,upendeleo wa kizanzibari kidini na Kirangi kama anavyofanya . Pangekuwa na vita kati ya Tanzania na Rwanda je,angejaza watu wake Jeshini au polisi ili wakaifie nchi ? Jibu ni hapana Familia yake angeificha Oman. Kwa hiyo anafanya haya kwa sababu hana uzalendo wala huruma na nchi hii.

Yaani CCM hawaoni kuwa kuna hatari kubwa sana ya nchi kugawanyika kisiasa ,kidini na kizanzibari na Kitanganyika.

Leo wazanzibar eti ndio wanaojifanya kuwa wanalinda usalama wa Tanganyika kila kona na wanaidhibiti Tanganyika na kutorosha rasilimali zake kwa bastola huku wakizuia midomo ya watu kusema.
Viongozi wetu wa dini walioheshimika Tangu Enzi za mtume Mohamad leo wanatishwa na Mama mmoja tena mgeni eti wanaleta chokochoko. Lakini yote ni kwa sababu ya nini ya ubinafsi na familia yake .

Kutathimini gharama ya mabango ya kumtangaza mtu aliyekaa madarakani miaka Kumi ,miatano akiwa Rais na mitano akiwa Makamu wa Rais unakosa jibu la kwa nini anatumia gharama kubwa namna hiyo !! Yaani Bango moja hata ukiweka sh.Elfu 20 kwa mabango zaidi ya mil moja nchi nzima ni Bil.20. Pesa zinazoweza kujenga Nyumba za bei nafuu kwa Walimu Elfu Moja . Vyumba viwili na sebule .
Pesa zinazotosha kulipa Madeni ya Police elfu tano wanaodai kila mmoja Sh.mil.4 kwa mfano .

Hapo bado hatujasema Pikipiki Elfu 17 za mama . Kwa bei ya soko pikipiki Elfu kumi na saba zilizolipiwa kodi ni Bil. 45.9 kwa bei ya @Mil.2.7 kwa pikipiki.
Bil.45.9 zinaweza kulipa madeni ya walimu elfu 11 wanaodai mil.4 kila mmoja .

Cha ajabu Polisi na wanajeshi na walimu hawaoni huo ujinga kwa sababu kuna genge lenye kufanya hujuma na kutisha watu kwa manufaa yao . Lakini ukweli ni kwamba hata vyombo vya Dola hasa Watanganyika hawafurahii hali hiyo inayohimiza sana Watangayika kwa manufaa ya wazanzibari wachache wasiozidi hata mia tano wenye nchi yao.

Leo Tanganyika kuchafuka wao watarudi kwao na mbaya zaidi Zanzibar nayo ilichafuka watarudi wataenda Imani kwa wajomba zao
.
Nchi imelogwa na CCM imelala usingizi mzito majeshi ndiyo yanahangaika na kulazimishwa kuua ndugu zao ile majambazi yaliyovaa suiti yapande magari ya ving'ora
 
Ndiyo hapo. Chama cha kitaifa. Chenye Lissu, Mwigilu, Zitto, Mpina, Wassira, Lusinde nk nk.
Jeshi lishike nchi kwanza ili kudhibiti wananchi wasio na hatia kuua na wanasiasa kwa manufaa yao wakati wauaji ndio walipaswa kuuawa kwa wizi na ufisadi wa mali za umma
Yaani unampiga risasi Ally Kibao unamwacha Waziri na Karibu wa wizara na mkurugenzi wa Bandari wanaofanya ufisadi mkubwa wa fedha za umma . Hii ni ajabu na laana kubwa kwa nchi .
Bora Jeshi lijenge nchi.
 
safari hii ccm mlipoishia
IMG_1049.jpeg
 
Kwa nini tusingekuwa na demokrasia ya chama kimoja ambayo inaonekana ni bora kuliko ya vyama vingi iliyojaa matatizo lukuki?

Chama kiteue wagombea wa urais watatu tuwapigie kura. Hivyo hivyo wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa.

Demokrasia ya chama kimoja haina vurugu nyingi za kuiba kura na ujinga mwingine unaopatikana kwenye demokrasia ya vyama vingi.
Siku hizi hata fomu moja haitolewi ndugu.
Sasa hiyo demokorasia ya chama kimoja hiyo labda siyo Tanganyika.
 
Back
Top Bottom