Kama unafikiri kuwa corrupt ni mpaka uwe serikalini basi una safari ndefu sana.Uwe corrupt ukiwa upinzani. Ama hujui corrupt ni nini?
Au JESHI lichukue Nchi, tuachane na mauchaguziHuko tumeshatoka. Hawa wa chama kinachoiba kura wameshapanda mbegu mbaya. Labda vyama vyote vifutwe kianzishwe chama kimoja ndio tuanzie hapo.
Haya ni matamanio yangu ya siku zote.Au JESHI lichukue Nchi, tuachane na mauchaguzi
Dictatorship